Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Asante bro, pm plzYes in Szczesny Memory do that please.
Msalimie 1, 2, mara ya 3![]()
I ll miss this couple
Asante bro, pm plzYes in Szczesny Memory do that please.
Msalimie 1, 2, mara ya 3![]()
I ll miss this couple
Leo imekuwa siku ya majonzi sana jamaniThanks thanks again, I say goodbye
Ngoja nikwambie kitu......kuna Kapuku uchwara baada ya maandamano yetu kupamba moto akashauei NIMWAMBIE MOD AIFUNGE KF eti tutaonekana ni wafanya fujo nikamwambia BIG NO thread nitaiboresha na itakuja kuweka rekodi JF (nilihisi katumwa) bila kutumia akili thread ingefungwa lkn kwa kushirikiana na Jimena na Th Name nikawahakikishia nitaisimamia kidete na thread itabamba(km ilivyotokea)Siku tatu tuu baada ya kujiunga na Jf nlikuja hapa , nilikuwa nna like 9 ya kumi ndo nme ipatia hapa mpaka sasa nna likes karibu 25,000 na zaid, kote huko nilisemwa kwa sababu ya ugeni wangu, lakini hapa mlinikaribisha kwa like,i said i will always be here i wont go any where,ahsanteni sana kwa kila kitu
Upendo ulioko hapa endelezeni , nami naamini kila anaye kuja hapa na aliye hapa ni zawadi ya Mungu kwa mwenzake, pia paten muda somen nyuzi nyingne , changieni lakin dont forget ur home Kf
Bitoz, keep it up , ur unique and arrogant(good arrogance lakin) una lifanya hili group liende wewe ni kiongozi wa ukweli mkuu endelea hvo hvo, una roho ya upiganaji uki ipeleka na duniani uta tisha
Mussolin5, una knowldge kubwa sana keep that up ndo injini ya knowldge hapa kf nakuaminia
@Quigley,nashukuru kwa yote ndugu yangu uwa nakukubali una fanya unacho taka, na ni msema ukweli(huvungii mtu yaan ) thanks pia , nadhan unaongoza kwa kuwa na madada wengi humu, ulianzisha "je wajua" halafu haipo tena irudshe, ilikuwa nzuri, Jambilo was good nem
![]()
![]()
![]()
shululu, mtu mwenye busara umetulia sana , sja wahi kukuona ila nadhan ni mtu mzuri sana unaeza ishi na kila mtu
werrason, nashukuru kwa yoote uko fresh ni mjanja sana , nahis in real life wanao kufahamu hucheka kila skukeep that up kaka uta fanikiwa
Jimena, i love u, una akili, very classy, u believed me when no one else did, yaan umenifundisha kila kitu nnacho kijua leo, hapa jf , in real life am a very boring person and am ugly (ukumbe hilo) na wish niishi na mtu kama wewe sku moja maishan mwangu. Na ukumbuke nna penda kuwa na watt 7
![]()
Sweetiepie, an inspiration, adorable, funny, you always knew how i valued u, usivunje tena ndoa za watu lakin
![]()
amazing, manuu, The nem, liz, @makaveki ,jonax, @Coblepoints na ambao sja wataja nyie watu wa wa muhimu sana hapa ahsanteni kwl kwl nta wa miss
Nawatakia kila la kheri Muifikishe mbali kapuku jaman, nilipenda niepo kwenye 100k but najua mta niwakilisha
Woote nyie ni watu wazuri sana nta wa miss
I was so lucky to have u guys who have made it hard for me to say goodbye
Ni ndefu ila kwakuwa leo ni my farewell mni vumilie![]()
I have finished my job, i need a long vaccation now to see the world
Carrenza
Ht mimi nina majukumu sana tu sema nahisi nina deni km mwanzilishi wa UkapukuMkuu unaweza sana na uko active sana hapa sio kama wengine tunadonoa
Jamn huyu kaka afunguke labda kuna kitu nyuma ya pazia...tuko tayari kuwa naye bega kwa bega naye hata kule pm.Yani huwezi kuelewa tu jinsi hili la wewe kukosa maisha ya furaha limenigusa kiasi gani.
If you think u need mtu kukushauri, au kuongea nae pale unapohisi uko bored sana ni PM number yako.
Ila nakushauri kitu kimoja tu. Make sure hilo tatizo linalofanya unakosa amani basi jitahidi kulitatua. Furaha haitoki nje yako Bali ndani yako.
Ukizingatia hayo utakuwa umenifurahisha sana View attachment 390011
Amua sasa
Very sadJamn huyu kaka afunguke labda kuna kitu nyuma ya pazia...tuko tayari kuwa naye bega kwa bega naye hata kule pm.
Naunga dots tangu last week kuna namna alikuwa akopost akiaina na leo ndo kamalizia hivi
Hahahahahahaaaa!!!! Duuuh!!!!Kuna togwa & vishombo
![]()
![]()
![]()
............
Karibu KFHahahahahahaaaa!!!! Duuuh!!!!
Shukrani sana mkuu!!!!! nimefurahi kukaribishwa hukuu!!!Karibu KF
The Home of City peoples
![]()
![]()
![]()
..........
Huku ni "Kapuku" hakuna wakuu najua vizee ndo vinapenda kuitwa wakuuShukrani sana mkuu!!!!! nimefurahi kukaribishwa hukuu!!!
Karibu na ruksa kabisa kapukuNaruhusiwa kubeba mikoba ya Carrenza? Ila in a serious note. Mambo chokonozi ya kilimwengu na sayansi lakini kwa mvuto sana. Tulipe jukwaa Joho la usomi kidogo. Mnasemaje waungwana? Bitoz, Jimena, Werrason, Mussolin (the dictator) na wengineo mnasemaje?
Naweza kuanza kesho na "beginning of time?"
Yes you can.Naruhusiwa kubeba mikoba ya Carrenza? Ila in a serious note. Mambo chokonozi ya kilimwengu na sayansi lakini kwa mvuto sana. Tulipe jukwaa Joho la usomi kidogo. Mnasemaje waungwana? Bitoz, Jimena, Werrason, Mussolin (the dictator) na wengineo mnasemaje?
Naweza kuanza kesho na "beginning of time?"
Mh!!!....Siku tatu tuu baada ya kujiunga na Jf nlikuja hapa , nilikuwa nna like 9 ya kumi ndo nme ipatia hapa mpaka sasa nna likes karibu 25,000 na zaid, kote huko nilisemwa kwa sababu ya ugeni wangu, lakini hapa mlinikaribisha kwa like,i said i will always be here i wont go any where,ahsanteni sana kwa kila kitu
Upendo ulioko hapa endelezeni , nami naamini kila anaye kuja hapa na aliye hapa ni zawadi ya Mungu kwa mwenzake, pia paten muda somen nyuzi nyingne , changieni lakin dont forget ur home Kf
Bitoz, keep it up , ur unique and arrogant(good arrogance lakin) una lifanya hili group liende wewe ni kiongozi wa ukweli mkuu endelea hvo hvo, una roho ya upiganaji uki ipeleka na duniani uta tisha
Mussolin5, una knowldge kubwa sana keep that up ndo injini ya knowldge hapa kf nakuaminia
@Quigley,nashukuru kwa yote ndugu yangu uwa nakukubali una fanya unacho taka, na ni msema ukweli(huvungii mtu yaan ) thanks pia , nadhan unaongoza kwa kuwa na madada wengi humu, ulianzisha "je wajua" halafu haipo tena irudshe, ilikuwa nzuri, Jambilo was good nem
![]()
![]()
![]()
shululu, mtu mwenye busara umetulia sana , sja wahi kukuona ila nadhan ni mtu mzuri sana unaeza ishi na kila mtu
werrason, nashukuru kwa yoote uko fresh ni mjanja sana , nahis in real life wanao kufahamu hucheka kila skukeep that up kaka uta fanikiwa
Jimena, i love u, una akili, very classy, u believed me when no one else did, yaan umenifundisha kila kitu nnacho kijua leo, hapa jf , in real life am a very boring person and am ugly (ukumbe hilo) na wish niishi na mtu kama wewe sku moja maishan mwangu. Na ukumbuke nna penda kuwa na watt 7
![]()
Sweetiepie, an inspiration, adorable, funny, you always knew how i valued u, usivunje tena ndoa za watu lakin
![]()
amazing, manuu, The nem, liz, @makaveki ,jonax, @Coblepoints na ambao sja wataja nyie watu wa wa muhimu sana hapa ahsanteni kwl kwl nta wa miss
Nawatakia kila la kheri Muifikishe mbali kapuku jaman, nilipenda niepo kwenye 100k but najua mta niwakilisha
Woote nyie ni watu wazuri sana nta wa miss
I was so lucky to have u guys who have made it hard for me to say goodbye
Ni ndefu ila kwakuwa leo ni my farewell mni vumilie![]()
I have finished my job, i need a long vaccation now to see the world
Carrenza

Nakutakia Kila la Kheri.It's OK.......ilimradi iwe ni TOP TEN na kila siku na ishu mpyaNaruhusiwa kubeba mikoba ya Carrenza? Ila in a serious note. Mambo chokonozi ya kilimwengu na sayansi lakini kwa mvuto sana. Tulipe jukwaa Joho la usomi kidogo. Mnasemaje waungwana? Bitoz, Jimena, Werrason, Mussolin (the dictator) na wengineo mnasemaje?
Naweza kuanza kesho na "beginning of time?"
Hata isipokuwa Top ten aweke tu hiyo segment yake ya sayansi and maybe hidden object kwa style yake atakayoona itapendeza ili mradi somo lifike.It's OK.......ilimradi iwe ni TOP TEN na kila siku na ishu mpya
Karibu
...........
Ndo niliyomaanisha......TOP TEN ibaki kuwa top ten,mtu anaweza kubuni segment yoyote na ikabamba lkn yy kazungumzia "mikoba ya yule MTU" hivyo lugha gonganaHata isipokuwa Top ten aweke tu hiyo segment yake ya sayansi and maybe hidden object kwa style yake atakayoona itapendeza ili mradi somo lifike.
Atapatikana mtu mwingine pia ambae ataleta top 10 kama top 10
PamojaNdo niliyomaanisha......TOP TEN ibaki kuwa top ten,mtu anaweza kubuni segment yoyote na ikabamba lkn yy kazungumzia "mikoba ya yule MTU"
...........................