Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ni kweli ziligusa watu wengi, mimi nilikuwa nafanya kazi mahari, nikakuta watu wanasimuliana jinsi watu walivyokuwa wanauwawa Enzi hizo na kuoneshana picha, mimi nikawa nawacheki tu
KF ndo thread inayofuatiliwa zaidi JF
*Top 10
*Leo ktk historian
*Magazeti
Ndo segment 3 bora kwa kufuatiliwa
...................
 
Karibu kwenye top tena kama kawaida yetu ya kila siku

Ila leo napenda kutumia fursa hii kuwaambia woote mlokuwa mna sapot segment hii ahsantemi sanaa, na now Szczesny ataondoka JF na kuendelea na maisha mengine, nilipenda ni tufike wote kwenye 100 k but i wish you guys the best sta potea KF tuu ila napotea JF kwa ujumla and nawakubali sana wakuu kwa miez takriban mi 3 au 4,ya kuwa pamoja kama familia ahsanteni sana sanaa.

So nta shusha kumi kali za mwisho then i think tuta agana, then ntaweka rekodi ya kuwa member aliye aga JF( stupid me).

Twende kazi
Ooh jamani
Im gonna miss you
 
So guys thank u , ur the best people ever , toka nilianza hii segment mme i sapot sana nashukuru endeleeni kusapotiana na penda mfike hata 10000k mkiwa pamoja hapa kapuku forum

Kumi kali za mwisho zme letwa kwenu na mwanzilshi wake anaye kwenda ku retire
Szczesny Carrenza de la Cas de la Fuma

Si kaz rahisi hii wakuu , but support yenu na upendo wenu vili nifanya kila sku niumize kichwa na nihangaike hapa kuleta mambo
Kwa herini sana keep t cool keep t real

Top ten is out!!!
Mkuu unatania au!
Basi kama ndo hivyo sina lakusema bali nakushukuru kwa ushiriki wako kf na kuchangia kupaisha uzi huu, kila la heri mkuu
 
Number 1, Romanian Army View attachment 389965 hawa mi skubali kwamba ndo namba moja, ila vyanzo vyangu vina niambia et hawa ndio wana wana wake wenye vutoo zaid kwenye jeshi lao, wakati ukraine ikiwa ni taifa lina lo onekana la ajab ajab huko ulaya, na lililo pitia misukosuko nyingiii, lakin ndo hvo bhana mungu hakunyimi vyote nao wame jikamatia nafas ya kwanza kwa wanawake wenye mvuto, how comes wameongoza mimi shjui, ndio mteembee sasa mkaone wenyewe kama twadanganywa ama neeneeee!!!
Wa kawaida sanaaa
 
So guys thank u , ur the best people ever , toka nilianza hii segment mme i sapot sana nashukuru endeleeni kusapotiana na penda mfike hata 10000k mkiwa pamoja hapa kapuku forum

Kumi kali za mwisho zme letwa kwenu na mwanzilshi wake anaye kwenda ku retire
Szczesny Carrenza de la Cas de la Fuma

Si kaz rahisi hii wakuu , but support yenu na upendo wenu vili nifanya kila sku niumize kichwa na nihangaike hapa kuleta mambo
Kwa herini sana keep t cool keep t real

Top ten is out!!!
Asante sana kwa muda wote ambao tulikuwa pamoja.
Ntakumiss sana kwakweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom