Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nime furahishwa sanaa the way mlikuwa mna appriciate nnavo vifanya hapa , mimi ntawa miss sana wakuu
Endelea na ule utaalam wako wa kupiga pande zote zote
Halaf Nlishndwa ku keep ahadi ya Nixon lakin uamuzi huu siku tegemea kama leo uta fanyika so
I hope uta fuatilia mwenye vizuri

Thts why nlijoin hapa, mkuu good by endelea kuwa mtu makini hvo hvo kaka
Kumbuka hadi wasio Makapuku husoma ishu zako .....kifupi ziliwagusa wengi
...........
 
1958 - Michael Jackson anazaliwa.

Alikuwa ni mfalme wa muziki wa pop Duniani.

Ni mmoja wa wanamuziki bora wa wakati wote kuwahi kutokea Ulimwenguni.

Anashikilia rekodi mbalimbali kama vile Albam iliyouza nakala nyingi zaidi duniani ni Albam yake ya Thriller.

Alijibadilisha rangi toka mweusi mpk kuwa mweupe.

Alifariki Dunia mwaka 2009 lakini Jina lake litaishi miaka mingi sana.
Happy birthday King
 
Umeprove U are a good person
..............................

Nikipata muda nitakuwa naandika halafu nazisevu.......lakini napendekeza anayeweza akurithi coz mimi nina ishu nyingi KF
lkn ikishindikana nitazileta mwenyewe
...................
Nshukuru sana prezda (nlikuita hvo kipindi nakuja leo nnavo ondoka naomba unruhusu tuu nitumie )Wana KF ni watu poa sana yaan nadhani nyie ni watu wazuri mara kumi yangu.

Yes segment inahitaji utayari, na muda mengne yoote mtu anaye ya weza akipendekezwa ata master tuu
 
Nime furahishwa sanaa the way mlikuwa mna appriciate nnavo vifanya hapa , mimi ntawa miss sana wakuu
Endelea na ule utaalam wako wa kupiga pande zote zote
Halaf Nlishndwa ku keep ahadi ya Nixon lakin uamuzi huu siku tegemea kama leo uta fanyika so
I hope uta fuatilia mwenye vizuri

Thts why nlijoin hapa, mkuu good by endelea kuwa mtu makini hvo hvo kaka
Dah, huzuni. Poa Mkuu!!
 
Nshukuru sana prezda (nlikuita hvo kipindi nakuja leo nnavo ondoka naomba unruhusu tuu nitumie )Wana KF ni watu poa sana yaan nadhani nyie ni watu wazuri mara kumi yangu.

Yes segment inahitaji utayari, na muda mengne yoote mtu anaye ya weza akipendekezwa ata master tuu
Mi naishia hapo
Goodbye

.................
 
Jimena jamaa yetu anaondoka aisee.
Yy hajashtuka anazurura tu
1472492868540.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom