Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 4, Greece Army
1472489221992.jpg
kwa kweli mi sja wa elewa elewa hapa , so na nyie changamsheni vchwa mka fuatilie khaa!!
Ila.nao ni wazuri kweli kweli
 
Karibu kwenye top tena kama kawaida yetu ya kila siku

Ila leo napenda kutumia fursa hii kuwaambia woote mlokuwa mna sapot segment hii ahsantemi sanaa, na now Szczesny ataondoka JF na kuendelea na maisha mengine, nilipenda ni tufike wote kwenye 100 k but i wish you guys the best sta potea KF tuu ila napotea JF kwa ujumla and nawakubali sana wakuu kwa miez takriban mi 3 au 4,ya kuwa pamoja kama familia ahsanteni sana sanaa.

So nta shusha kumi kali za mwisho then i think tuta agana, then ntaweka rekodi ya kuwa member aliye aga JF( stupid me).

Twende kazi
Mkwe hapo huwa nakukubali sana (ukilo)
 
Number 3, Australian Army
1472489377611.jpg
daaah mi nawafahm wana wake wa Australia , hawa wao toka miaka ya 1800,huko wali ruhusiwa kwenda jeshini ila kwa sharti moja , wao watakuwa ni manesi tuuu
Lajini baada ya miaka ya 1970 nadhan walianza ki dogo kidogo kuwa eka watt wazuri hawa waingie jeshini na wana piga kaz kama kawa na wana jiremba

Wana jeshi wa sku hiz bhana et mwana jeshi ana make up mweer!!
 
Number 2, Russian Army
1472489603596.jpg
mi sjajua kwa nini hawa wamekuwa wa pili , ujue wa rusi wenyewe ni wazuriii sana awe mwanajeshi au awe miss , kwa hiyo hao uwa wana enda jeshini kuamsha amsha morali ya jeshi, na sku zote wa rusi wame wa shirikisha sana wana wake kwenye mambo ya vita na kujiunga na majeshi mbali.mbali
 
Number 1, Romanian Army
1472489799946.jpg
hawa mi skubali kwamba ndo namba moja, ila vyanzo vyangu vina niambia et hawa ndio wana wana wake wenye vutoo zaid kwenye jeshi lao, wakati ukraine ikiwa ni taifa lina lo onekana la ajab ajab huko ulaya, na lililo pitia misukosuko nyingiii, lakin ndo hvo bhana mungu hakunyimi vyote nao wame jikamatia nafas ya kwanza kwa wanawake wenye mvuto, how comes wameongoza mimi shjui, ndio mteembee sasa mkaone wenyewe kama twadanganywa ama neeneeee!!!
 
Number 1, Romanian Army View attachment 389965 hawa mi skubali kwamba ndo namba moja, ila vyanzo vyangu vina niambia et hawa ndio wana wana wake wenye vutoo zaid kwenye jeshi lao, wakati ukraine ikiwa ni taifa lina lo onekana la ajab ajab huko ulaya, na lililo pitia misukosuko nyingiii, lakin ndo hvo bhana mungu hakunyimi vyote nao wame jikamatia nafas ya kwanza kwa wanawake wenye mvuto, how comes wameongoza mimi shjui, ndio mteembee sasa mkaone wenyewe kama twadanganywa ama neeneeee!!!
Cc jimena
 
Karibu kwenye top tena kama kawaida yetu ya kila siku

Ila leo napenda kutumia fursa hii kuwaambia woote mlokuwa mna sapot segment hii ahsantemi sanaa, na now Szczesny ataondoka JF na kuendelea na maisha mengine, nilipenda ni tufike wote kwenye 100 k but i wish you guys the best sta potea KF tuu ila napotea JF kwa ujumla and nawakubali sana wakuu kwa miez takriban mi 3 au 4,ya kuwa pamoja kama familia ahsanteni sana sanaa.

So nta shusha kumi kali za mwisho then i think tuta agana, then ntaweka rekodi ya kuwa member aliye aga JF( stupid me).

Twende kazi

I will mc u szczesny.. Hiiii... Hiii.. wap ntapata 10 bora mimi.. Unaniacha na nyangema mzee wa kata k..

Cwt"p" come here boss wako anaondoka.
 
So guys thank u , ur the best people ever , toka nilianza hii segment mme i sapot sana nashukuru endeleeni kusapotiana na penda mfike hata 10000k mkiwa pamoja hapa kapuku forum

Kumi kali za mwisho zme letwa kwenu na mwanzilshi wake anaye kwenda ku retire
Szczesny Carrenza de la Cas de la Fuma

Si kaz rahisi hii wakuu , but support yenu na upendo wenu vili nifanya kila sku niumize kichwa na nihangaike hapa kuleta mambo
Kwa herini sana keep t cool keep t real

Top ten is out!!!
 
Tunaheshimu maamuzi yako
Ww Ni miongoni mwa vichwa vyenye faida
Kila la kberi
Tunashukuru kwa yote
.........................................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom