Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo katika Historia:
1945 - Hongkong yajikomboa toka kwa Japan
HK nafikiri ilipata from China not Japan
....
Leo katika Historia:
1945 - Hongkong yajikomboa toka kwa Japan
Mrembo huyo...ana enjoy kuwa single1972 - Cameron Diaz anazaliwa.
Ni mwanamitindo na producer toka nchini Marekani.
Jambilo ndio nan??Vijembe vimesaidia kuwanyoosha "wazinguaji"
Jambilo ndo anaongoza kwa kupigwa vijembe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.................









Kwa kweliThanks my kakaa niko okay...si unajua watu mnazoeana kama hivi tulikuwa na movie yetu hivi ghafla imeisha aisee. Ilikuwa inapeleka uzi sana
1999 - Nchi ya Timor Mashariki yapiga kura kujitenga toka kwa Indonesia.
Alikuwaga rais wa makapuku kabla bitoz hajampinduaJambilo ndio nan??![]()

1972 - Cameron Diaz anazaliwa.
Ni mwanamitindo na producer toka nchini Marekani.
Maana hilo jina mweee....Alikuwaga rais wa makapuku kabla bitoz hajampindua![]()
![]()
![]()
![]()





Anaanza kuzeeka huyu sasa...dooh
She is a beauty...
1972 - Pavel Nedved anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech.
Very beautiful
Nimecheki ilikuwa chin ya japan toka 1941 dec to 1945. Na walipigana vita kwa siku 17 from 8-25 Dec 1941View attachment 390153View attachment 390154View attachment 390155
HK nafikiri ilipata from China not Japan
....
Uelewe jambilo ni amani na sio kijamboMaana hilo jina mweee....![]()

KaribuMorning all
Magazeti ya Leo yanawajia kama ifuatavyo
1975 - Radhi Jaidi anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Bolton Fc na timu ya taifa ya Tunisia.
Kwigli wa zamaniJambilo ndio nan??![]()