Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Woyoooooooo!! asante mwenye Chair....Leo katika Historia:
Sina la ziada, kwa hisani ya UKUTA, tukutane kesho.
Byee....


Woyoooooooo!! asante mwenye Chair....Leo katika Historia:
Sina la ziada, kwa hisani ya UKUTA, tukutane kesho.
Byee....


Makubwa! ndo maana watu waliruka ukuta wanauawaKumbe zilikuwa zimetengana??? Ndo nasikia leo
Woyooooooo!! majembe yangu ya Action movies of all times!!
Schwarzenegger.
Sasa awaze wakina nani, kwa mfanoWe unawaza wakaka tu
![]()
![]()
..........
Viva Blacks!!!!
Huyu mzee aliwatesa sana Wamarekani

Tolu...
Bado tuko utumwani....haswaaa
Aaah
HahahaNukuu ya leo itawajia hivi punde
Hii App...inaninyima haki yangu ya msingi, yani sasa ndio nafungua magazeti kweli..kweli!?View attachment 386078View attachment 386079View attachment 386080
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami katika kuperuzi kurasa zilizotufikia asubuhi ya Leo.
Kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa hisani ya weka picha.
Niite Jimena Jimenes....... Nawapenda wote




Nyerere alikuwa na akili sanaNUKUU NO 1#
Watu na haki ni misingi ya Uongozi ambayo haiachani
Nikisema hivyo siyo kwamba kiongozi asiyechaguliwa na watu hawezi akatenda yaliyo ya haki. Anaweza. Maana yangu ni kwamba walinzi wa haki za watu ni watu wenyewe
Wanaweza wakapata viongozi wazuri, na hiyo itakuwa bahati yao. Lakini wakipata viongozi wabaya watakuwa na bahati mbaya sana, kwa sababu watakuwa hawana dawa ya kuwaondoa.
Haya ni maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere,
Yamo katika kitabu chake kinachoitwa TANU NA RAIA alichoandika mwaka 1962.
Mwalimu alig'atuka urais mwaka 1985. Alifariki Dunia Oct 14,1999
Hahaha
Huyu jamaa zuzu KweliJamaaaaa alikamatwa ana dawa za kulevya,,,, akaambiwa achague adhabu kati ya kunyongwa, kupigwa risasi, au kupigwa sindano ya virusi vya ukimwi yaan (HIV),,,,,
Jamaa:samahani naomba mtoke nje nfikirie kdogo af nkiwa tyari ntawaiten,,, wakatoka,,
Jamaa :kwa kujiamini kabisa!!! Haya njooni,,,,
Polsi :Mmmmmh tuambie umechagua adhabu gani????
Jamaa :kupigwa sindano ya virusi vya ukimwi,,,,
Polsi 😛ale pale wakampiga jamaaaaa sindano ya virusi vya ukimwi!!!! Haya bhanaaa upo huru,,,,,,,,,
Jamaa :akacheeeeeeeeka,,, HAHAHAHAAAAA,
Polsi :vp mbona unacheka???
Jamaa :mlipotoka nje nilivaa kondomu,,,,,,
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........,..................
HahahaNUKUU NO 2#
Umoja wetu haupaswi kuangalia pande gani ya Dunia, mipaka au utaifa bali tufungamane tushikamane kutoka pande zote za Dunia na katika kila nchi
Maneno haya ya kuhamasisha yalitamkwa na mpigania haki za weusi wa zamani wa Jamaica, Marcus Garvey.
Yamo katika andiko lake linaloitwa African Fundamentalism kwenye gazeti la kale la Negro World.
Garvey alikuwa akihubiri dhana ya weusi wote Duniani kuwa na nchi Yao moja au Bara lao moja ili wawe na fursa ya kuonesha kuwa Wana akili na vipawa sawa na wazungu.
Alizaliwa mwaka 1887 Jamaica na kufariki Dunia mwaka 1940 London