Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
1954 - Ndege ya kijeshi ya Hercules C-130 yaruka kwa mara ya kwanza huko Marekani.
Leo katika Historia:
1948 - Baraza la Makanisa Duniani ( WCC ) laanzishwa.
1954 - Ndege ya kijeshi ya Hercules C-130 yaruka kwa mara ya kwanza huko Marekani.
1990 - Nchi za Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi zatangaza kuungana tena October 3.
Hii ni baada ya kutengana toka mwaka 1945.
Kumbe zilikuwa zimetengana??? Ndo nasikia leo1990 - Nchi za Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi zatangaza kuungana tena October 3.
Hii ni baada ya kutengana toka mwaka 1945.
Happy birthday Kobe1978 - Kobe Bryant anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa kikapu aliyeastafu.
Ni mmoja kati ya wachezaji bora kuwahi kucheza ligi ya NBA kando ya Michael Jordan.
Asante sana kwa Historia mwenyekitiLeo katika Historia:
Sina la ziada, kwa hisani ya UKUTA, tukutane kesho.
Byee....
1994 - Eugene Bullard ambaye alikuwa ni rubani pekee mweusi wa ndege vita katika vita kuu ya kwanza ya Dunia anapewa cheo cha Luteni katika Jeshi la Marekani.
Alioewa cheo kutambua mchango wake vitani, ingawa alishafariki.
1996 - Osama Bin Laden anatangaza vita vya ukombozi dhidi ya Marekani popote pale Duniani.
1978 - Kobe Bryant anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa kikapu aliyeastafu.
Ni mmoja kati ya wachezaji bora kuwahi kucheza ligi ya NBA kando ya Michael Jordan.