Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Atakuja siku Nessi akipiga hat trick kwenye ligi uchwaraHahahaha
Hana jipya kwa sasa ngoja tusubir mambo yanoge msimu huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........

Mabaunsa wana fangs mkuu?Hujui sex ww...ht baunsa mbona hamuumizi demu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
.........
Naona ndio amerudiTangu CR7 achukue EURO jamaa kaikimbia KF
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Mbwa je?Mabaunsa wana fangs mkuu?
Si unajua juzi Nessi wao katupia mbiliNaona ndio amerudi
KumbeeSi unajua juzi Nessi wao katupia mbili
[emoji1] [emoji1]
........
NUKUU NO 1#
Watu na haki ni misingi ya Uongozi ambayo haiachani
Nikisema hivyo siyo kwamba kiongozi asiyechaguliwa na watu hawezi akatenda yaliyo ya haki. Anaweza. Maana yangu ni kwamba walinzi wa haki za watu ni watu wenyewe
Wanaweza wakapata viongozi wazuri, na hiyo itakuwa bahati yao. Lakini wakipata viongozi wabaya watakuwa na bahati mbaya sana, kwa sababu watakuwa hawana dawa ya kuwaondoa.
Haya ni maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere,
Yamo katika kitabu chake kinachoitwa TANU NA RAIA alichoandika mwaka 1962.
Mwalimu alig'atuka urais mwaka 1985. Alifariki Dunia Oct 14,1999
Briz ame R I PHawa Raia wako wapi...Briz na Werrason? isije ikawa wamevamiwa na panya road
Thts discrimination agains us who failed form IVForm Four Failures Unity ( FFFU )
Chuki binafsi tu hizo na tunakulagaaaaa....[emoji16][emoji16]Briz ame R I P
Apumzike kwa amani..inaonyesha jamaa alikuwa brave sana huyu[emoji22][emoji22]NUKUU NO 2#
Umoja wetu haupaswi kuangalia pande gani ya Dunia, mipaka au utaifa bali tufungamane tushikamane kutoka pande zote za Dunia na katika kila nchi
Maneno haya ya kuhamasisha yalitamkwa na mpigania haki za weusi wa zamani wa Jamaica, Marcus Garvey.
Yamo katika andiko lake linaloitwa African Fundamentalism kwenye gazeti la kale la Negro World.
Garvey alikuwa akihubiri dhana ya weusi wote Duniani kuwa na nchi Yao moja au Bara lao moja ili wawe na fursa ya kuonesha kuwa Wana akili na vipawa sawa na wazungu.
Alizaliwa mwaka 1887 Jamaica na kufariki Dunia mwaka 1940 London
HahahaRivador= Rivaldo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Imooooooooo....tuliofeliThts discrimination agains us who failed form IV
[emoji33] [emoji33] [emoji22] [emoji22] [emoji33] [emoji33] [emoji33]Quigley mpenzi wa mimi mekumiss sana, hizi siku mbili tulizonuniana naona mwaka...[emoji15][emoji25][emoji25][emoji17] njoo nyumbani tuyajenge, mi nshafika[emoji8][emoji8].
NUKUU NO 2#
Umoja wetu haupaswi kuangalia pande gani ya Dunia, mipaka au utaifa bali tufungamane tushikamane kutoka pande zote za Dunia na katika kila nchi
Maneno haya ya kuhamasisha yalitamkwa na mpigania haki za weusi wa zamani wa Jamaica, Marcus Garvey.
Yamo katika andiko lake linaloitwa African Fundamentalism kwenye gazeti la kale la Negro World.
Garvey alikuwa akihubiri dhana ya weusi wote Duniani kuwa na nchi Yao moja au Bara lao moja ili wawe na fursa ya kuonesha kuwa Wana akili na vipawa sawa na wazungu.
Alizaliwa mwaka 1887 Jamaica na kufariki Dunia mwaka 1940 London
Mwaga vituz jirani....[emoji4][emoji4]Nukuu ya leo itawajia hivi punde
R.I.P our braviest prezidaa...sio wengine uchwara tuNUKUU NO 1#