Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Masihara haya sasa sio kwa unene huo!!Number 5, Donna Simpson, kg 301 View attachment 385860huyu yeye alipenda kabsa kuwa mnene na alitaka afikisge at least kilo 500 ili awe mtu mnebe kulko woote duniani hapo ndo hvoo, alijikuta ana ishia apo, na alifungua website yake ambayo watu wali mlipa na yeye akiwaburudisha kwa kula msosi mwingiii, then alifanikiwa kuwa mwana mke mnene kuliko woite aliye weza kujifungua, na akioata mtt yake na hvo kuingia kwenye vitabu vya rekodi vya Guinnes kama kawa, ila skuiz nme ambiwa ana pungua pungua kwani ana taka amlee mtt wake
Nikienda kumcheki ntawapa info

Tatizo hilo...Number 4. Terri Smith, kg, 350 View attachment 385863hahaa huyu alikuwa mtu mnene wa kawaida kwani akiwa na miaka 20 alikuwa ana kilo kama 90 hadi 100 hapo, lakin amejikuta ana kuwa mnene bila breki na ana shikiria rekodi ya mtu wa kwanza kuwa mnene zaid kwa kipondi kifupi zaid duniani
Sasa ana miaka kama 55 hvi na ana ishi na mumewe mwenye miaka kama 50 na madokta wakimwambia akiendelea kuwa mnene hvi ana kufa .so ndo ana struggle ku loose weight, na yeye hawezi kukaa, kugeuke waka kutikisa kiungo chchte bila kusaidiwa na haez toka kitandani, lakin ndo ana pigana hvo asikufa
Atakuwa alisha kufa huyu!!


Ningetamani nichunguliepo downstairs pake palivyo...sio kwa unene huo sasa...!Number 3, Jon Brower Minnoch,kg 399 View attachment 385870 This is Jon Brower Minnoch (1941 - 1983) of Bainbridge Island, WA. He was 6 ft. 1 in. tall, and was estimated as weighing "probably more than" 1400 lbs. in 1979, at which point it took 13 people just to roll him over in bed. Minnoch, like many of the heaviest people, suffered from massive edema; his weight was augmented by at least 900 lbs. of fluid at its peak.
The former taxi driver had always been unusually heavy, reaching 400 lbs. in 1963, 700 lbs. in 1966, and 975 lbs. in 1976, but he claimed to have been handicapped, in no way, by his size until a 500-calorie diet sapped his muscular strength and left him on the brink of death. At his peak in 1978, Jon Brower Minnoch tipped the scales at an estimated 635 kilograms, or 1397 pounds, or if you prefer, 100 stone.
He passed away on on September 10, 1983 weighing 362 kilograms or 796 pounds. Minnoch was the father of two children by his 110-lb wife, Jeannette.
Asante sana mkuu szczesnyWakuu
Ahsanten sana, i blv tuna fanya hvi tuelimike , na tupashane habar so ahsanten kwa sapot (japo leo kama hampo hvi dizain)
Ni mimi Field Marshal
Wakuu
Ahsanten sana, i blv tuna fanya hvi tuelimike , na tupashane habar so ahsanten kwa sapot (japo leo kama hampo hvi dizain)
Ni mimi Field Marshal



Yule mgonjwa alifariki kipindi kile kwa ndege kukataa kumbeba kwa kuzidi uzito,walikuwa wanampeleka IndiaNumber 1, Mayra Rosales, kilo 518 View attachment 385873 huyu ni wa huko Texas, sasa huyu aliwahi kushinda mpaka kesi iliyo kuwa ina mkabili kwani jaji alisema ni mnene mnoo hvo hawez kuua
Mwaka 2008, alifunguliwa kesi ya kumuua binamu yake , lakini jaji alipo mchunguza alitoa hukumu kuwa 'this woman is too big to kill’. Kwa kuwa ana uzito mkubwa kias haez nyanyua mkono wake mwenyew tena kiasi cha ku mdhuru mtuu, kwa kuwa ni mzito sana jaji aka amuru kuwa hana kesi ya kujibu
I miss you too ex bf...My x, miss u
Mbona mapema hiviHaya gud nyt wazee
Nzuri...application iligoma tena...Missing youWakuu habar za jioni na poleni na mizunguko ya sku nzima
Hiyo ni balaaaaSasa ushafahamu
Na hii sasa...Kangaroos have 3 vaginas
![]()
![]()
![]()
.............



Hahahaha!!Alikuwa kigoma na city boy zake huyo
Huyu nae alitishaNumber 5, Donna Simpson, kg 301 View attachment 385860huyu yeye alipenda kabsa kuwa mnene na alitaka afikisge at least kilo 500 ili awe mtu mnebe kulko woote duniani hapo ndo hvoo, alijikuta ana ishia apo, na alifungua website yake ambayo watu wali mlipa na yeye akiwaburudisha kwa kula msosi mwingiii, then alifanikiwa kuwa mwana mke mnene kuliko woite aliye weza kujifungua, na akioata mtt yake na hvo kuingia kwenye vitabu vya rekodi vya Guinnes kama kawa, ila skuiz nme ambiwa ana pungua pungua kwani ana taka amlee mtt wake
Nikienda kumcheki ntawapa info
Ha ha ha sasa kama we humjui sisi tutamjuaje jamaniNumber 2, Kenneth Brumley, kilo 517 View attachment 385871 huyu mi simjui ila nyie wenyewe mambo yake mna yaona

Heshima yake kwakweliNumber 1, Mayra Rosales, kilo 518 View attachment 385873 huyu ni wa huko Texas, sasa huyu aliwahi kushinda mpaka kesi iliyo kuwa ina mkabili kwani jaji alisema ni mnene mnoo hvo hawez kuua
Mwaka 2008, alifunguliwa kesi ya kumuua binamu yake , lakini jaji alipo mchunguza alitoa hukumu kuwa 'this woman is too big to kill’. Kwa kuwa ana uzito mkubwa kias haez nyanyua mkono wake mwenyew tena kiasi cha ku mdhuru mtuu, kwa kuwa ni mzito sana jaji aka amuru kuwa hana kesi ya kujibu
Jaman wewe, masihara hayoNingetamani nichunguliepo downstairs pake palivyo...sio kwa unene huo sasa...!
Hebu rudi home, nakumic
Njoo tukumbushieI miss you too ex bf...