Wana midomo sana wa mchanganiNaona Mifugo wa Mooo FC kaanza kuchonga....ndo soka la Bongo kagoli ka1 tu povu jingi...
.
Simba wenyewe last season walianza kwa mikwara na kuongeza ligi kisha kilichowapata ht Akilimali anakijua
![]()
![]()
![]()
............
Ziko poa sana kaka, familia yako wazima?Morning Quigley, za pande hizo
Asante, jj, ubarikiwe, nakupenda sanaView attachment 386078View attachment 386079View attachment 386080
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami katika kuperuzi kurasa zilizotufikia asubuhi ya Leo.
Kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa hisani ya weka picha.
Niite Jimena Jimenes....... Nawapenda wote
Wazima kabisaZiko poa sana kaka, familia yako wazima?
Jamaaaaa alikamatwa ana dawa za kulevya,,,, akaambiwa achague adhabu kati ya kunyongwa, kupigwa risasi, au kupigwa sindano ya virusi vya ukimwi yaan (HIV),,,,,
Jamaa:samahani naomba mtoke nje nfikirie kdogo af nkiwa tyari ntawaiten,,, wakatoka,,
Jamaa :kwa kujiamini kabisa!!! Haya njooni,,,,
Polsi :Mmmmmh tuambie umechagua adhabu gani????
Jamaa :kupigwa sindano ya virusi vya ukimwi,,,,
Polsi 😛ale pale wakampiga jamaaaaa sindano ya virusi vya ukimwi!!!! Haya bhanaaa upo huru,,,,,,,,,
Jamaa :akacheeeeeeeeka,,, HAHAHAHAAAAA,
Polsi :vp mbona unacheka???
Jamaa :mlipotoka nje nilivaa kondomu,,,,,,
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........,..................

Hakika wote wazima tunashukuruZiko poa sana kaka, familia yako wazima?
Asante sana AnkaliView attachment 386078View attachment 386079View attachment 386080
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami katika kuperuzi kurasa zilizotufikia asubuhi ya Leo.
Kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa hisani ya weka picha.
Niite Jimena Jimenes....... Nawapenda wote
Mambo vipiNawe pia,
Asante