Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Uongo....!! nnavyopenda kucheka ntasex na wangapi



Njoo kwangu tuUongo....!! nnavyopenda kucheka ntasex na wangapi![]()
Diiii!!Baby ake...![]()

NUKUU NO 3#
Sio siri kwamba mimi si mtu mnafiki. Sio siri kwamba kuvunjika kwa jumuiya ya Africa mashariki kulinifurahisha sana.
Sikuwa naipenda kabisa jumuiya hiyo, na sikuficha mawazo yangu hayo na hisia zangu hizo.
Haya yalitamkwa na mwasheria maarufu wa zamani wa Kenya, sir Charles Njonjo ndani ya bunge la nchi hiyo, Julai 6,1977.
Njonjo ambaye alihusishwa mno na kifo cha jumuiya hiyo, alitaka watanzania wote ambao walikuwa wakifanya kazi katika jumuiya hiyo upande wa Kenya waamriwe kuondoka mara moja
Ila T-shirt za ukuta ziko poa sana
Huyu mkaka aliyevaa T.shirt ya ukuta mbona anafanana na Binamu...



Wakenya wajanja long timeHuyo Njonjo ndiyo alizuia ndege zote Kenya, siku jumuiya ilipovunjika, Nyerere akachezwa machale naye akazuiya meri zote zilizokuwa Tanzania hakuna kuondoka na ndege zilizokuwepo, japo nyingi zilikuwa upande wa Kenya, Uganda wao walibakiwa na vichwa vya treni na mabehewa machache, mengi yalikuwa Tanzania
Ila T-shirt za ukuta ziko poa sana
SanaWakenya wajanja long time
![]()
![]()
![]()
.......
We unawaza wakaka tuHuyu mkaka aliyevaa T.shirt ya ukuta mbona anafanana na Binamu...![]()

Woyooooooo!! majembe yangu ya Action movies of all times!!

Schwarzenegger.