Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Ha ha ha nilidhani umechukulia seriousMbona mimi mwelewa tu dadake,,,hofu not
Ha ha ha nilidhani umechukulia seriousMbona mimi mwelewa tu dadake,,,hofu not
Jifariji ht mahari yake tu imekuzidi X 1000000000000000Pamoja na kutoka Royal family ila hastui... Marilyn Monroe ni mzuri zaidi yake
Huyo bibi ye hana sifa yoyote ila mwanae ni mzuri kiasiTunatofautiana vigezo vya urembo tukiacha vigezo vya ulimbende wa dunia
Sina la ziada, asanteni kwa kuwa pamoja nami, tukutane keshi kwa udhamini mnono wa Miaka 12 ya Rooney pale Old Trafford.
Karibu JJ utuletee Magazeti.

Bahati nzuri wao hawalipiwi mahariJifariji ht mahari yake tu imekuzidi X 1000000000000000
![]()
![]()
![]()
.....
Morning papaaMorning
No no noHa ha ha nilidhani umechukulia serious
Morning HimenaMorning papaa
View attachment 375827View attachment 375828
Na kufikia hapo basi sina la ziada, kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa udhamini wa Rais mzee kuliko wote duniani...
Niite Jimena Jimenes
Bye bye
....comrade Mugabeee!!!
Katika ubora wake....comrade Mugabeee!!!
![]()
Week end tunaianza leo au hadi kesho?Morning Himena
Kijana mzima?Morning Makapuku.
Mkuu naomba uka re visit hii kituLeo katika Historia:
1977 - Rais Richard Nixon wa Marekani anasaini uanzishwaji wa Wizara ya Nishati nchini humo.