Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Na kweli aseeNaona picha ya chini akipigiwa saluti za kifashisti.
Ogopa sana watu wenye viwalaza na upara, sio viongozi wazuri, wanaamini zaidi kwenye matumizi ya nguvu na ubabe.
Na kweli aseeNaona picha ya chini akipigiwa saluti za kifashisti.
Ogopa sana watu wenye viwalaza na upara, sio viongozi wazuri, wanaamini zaidi kwenye matumizi ya nguvu na ubabe.
Ahsante sanaaaSina la ziada, asanteni kwa kuwa pamoja nami, tukutane keshi kwa udhamini mnono wa Miaka 12 ya Rooney pale Old Trafford.
Karibu JJ utuletee Magazeti.
FureshiiiuView attachment 375827View attachment 375828
Na kufikia hapo basi sina la ziada, kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa udhamini wa Rais mzee kuliko wote duniani...
Niite Jimena Jimenes
Bye bye
Mkuu ushahid wa kesi ya rushwa ni mgumu hatareeeNaona wabunge wa chama cha majipu wameachiwa huru.
Rushwa haiwezi kuisha kirahisi.
Iko njema kaka, japo nilipata na msiba katika familia yetu.Kijana mzima?
Na kwako pia.Na watakia sku njema wakuu
Tufanye kazi
Pole ndgIko njema kaka, japo nilipata na msiba katika familia yetu.
Sasa kama ni hivyo, hizo mahakama za mafisadi zimeshafeli kabla ya kuanza kazi.Mkuu ushahid wa kesi ya rushwa ni mgumu hatareee
sawa mkuuMkuu naomba uka re visit hii kitu
Nixon alijiuzulu mwaka 1974
.na Carter ndo alikuwa rais mwaka 1977
Asante
Asante kaka. Pamoja sana.Pole ndg
Lazima sheria zibadilishweSasa kama ni hivyo, hizo mahakama za mafisadi zimeshafeli kabla ya kuanza kazi.
Lazima sheria zibadilishwe
Hata Rais Magufuli cdhan kama analijua hilo kama hata badilisha sheria yyte ata feli vibaya na ataishia kuwa ana fukuza watuu tuu ila nchi haiendi
Jamaa ni dikteta uchwara sijui anatupeleka wapi.....kibaya zaidi yy ni kipofu anawaburuta tu wasaidizi wake km behewa za treni huku nao wamezibana tu macho
Wanaunga tela bila kujua wanapelekwa wapi.Jamaa ni dikteta uchwara sijui anatupeleka wapi.....kibaya zaidi yy ni kipofu anawaburuta tu wasaidizi wake km behewa za treni huku nao wamezibana tu macho
Nation Of Blinds (NOB)
![]()
![]()
![]()
...........

Uko poa lakiniMorning Makapuku.
Pamoja sana mkuuNa watakia sku njema wakuu
Tufanye kazi
Poleni sanaIko njema kaka, japo nilipata na msiba katika familia yetu.
Ni shida sanaJamaa ni dikteta uchwara sijui anatupeleka wapi.....kibaya zaidi yy ni kipofu anawaburuta tu wasaidizi wake km behewa za treni huku nao wamezibana tu macho
Nation Of Blinds (NOB)
![]()
![]()
![]()
...........