EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Asante kaka. Mungu ndiye tumaini letu.Poleni sana
Asante kaka. Mungu ndiye tumaini letu.Poleni sana
Ni kweli, yeye ndio anajua kesho yetuAsante kaka. Mungu ndiye tumaini letu.
Nilikuwa na homa kali, but kwa sasa nina unafuu kidogo.Uko poa lakini
Ni kweli kabisa. Tunamtegemea yeye katika kila jambo letu sote.Ni kweli, yeye ndio anajua kesho yetu
Wanaunga tela bila kujua wanapelekwa wapi.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Haijalishi viwanda vitajengwa...jamaa ni dikteta japo siyo mjedaNi shida sana
Wameishakaribia
Hahaaaa..... Wakiumia ndo watajua kile walichokifanya si kizuri.

2020 Naiona ni mbali.....Haijalishi viwanda vitajengwa...jamaa ni dikteta japo siyo mjeda
Alivaaga combat kutupiga mkwara
![]()
![]()
![]()
............
Dodoma ndiyo inawapeleka shimoniHahaaaa..... Wakiumia ndo watajua kile walichokifanya si kizuri.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wanaburutwa tu km mababu jingaHahaaaa..... Wakiumia ndo watajua kile walichokifanya si kizuri.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tena migogoro ndo itakuwa mikubwa.A.k.a machafuko + mogogpro
![]()
![]()
![]()
......
Mi nilifika Dodoma treni station duh kumechokaaaaaaDodoma ndiyo inawapeleka shimoni
Inaonekana wanataka ofisi zote zihamie Dodoma mwaka huu huu.Dodoma ndiyo inawapeleka shimoni

Tusubiri2020 Naiona ni mbali.....
Kingine ni kama wanakomoana wao kwa waoInaonekana wanataka ofisi zote zihamie Dodoma mwaka huu huu.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()