7M inakuhusuNaona picha ya chini akipigiwa saluti za kifashisti.
Ogopa sana watu wenye viwalaza na upara, sio viongozi wazuri, wanaamini zaidi kwenye matumizi ya nguvu na ubabe.
Leo katika Historia:
1821 - Louis Vuitton anazaliwa.
Ni mbunifu wa mavazi toka nchini Ufaransa.
hahaha wapi nimetaja jina la kilevi?7M inakuhusu
Jina lake linaishi mpaka leo.
Leo katika Historia:
1900 - Mama yake na Malkia Elizabeth wa Uingereza anazaliwa.
Alijulikana kama " Queen Elizabeth The Queen Mother "
Alifariki Dunia mwaka 2002.
Kimekula chumvi, miaka 101 sio masihara.
Leo katika Historia:
1961 - Rais Barrack Obama anazaliwa.
Ni Rais wa 44 wa Marekani.
Familia bora sana hizoHao ndio kuzaliwa kwao mpaka kufa hawaijui shida
hahaha ila kwa wenzetu huko sasa hivi anahesabu mieziView attachment 375829View attachment 375830View attachment 375831
Angekuwa Africa angetawala miaka 40
...........
Asante sana JJ.View attachment 375827View attachment 375828
Na kufikia hapo basi sina la ziada, kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa udhamini wa Rais mzee kuliko wote duniani...
Niite Jimena Jimenes
Bye bye
sana.Familia bora sana hizo