Morning, Jana umewahi kulala mapema sanaMorning all...
Leo katika Historia:
1924 - Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Mexico na Urusi yaanzishwa.
Leo katika Historia
1936 - Waziri Mkuu wa Ugiriki, Ioannis Metaxas anavunja Bunge na Kuvunja Katiba pia kwa kutoitambua, na kuanza utawala wa Kidikteta ktk Nchi hiyo.
Leo katika Historia:
1947 - Mahakama Kuu ya Japan yaanzishwa rasmi.