Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ht km umeleta maendeleohahaha ila kwa wenzetu huko sasa hivi anahesabu miezi
Mwisho 8 yrs
.....
Ht km umeleta maendeleohahaha ila kwa wenzetu huko sasa hivi anahesabu miezi
KaribuAsante sana kwa magazeti ya leo, JJ![]()
![]()
![]()
![]()
Ila Lugola hanaga matatizo na mtu jamani bora awe huru tuKwa rangi ile ni ngumu sana rushwa kuisha
Tuwekee na picha ya ujana wake
Una akili sana siku hizi,Tamaa ya kupata ufahamu ni muhimu
Sisimizi anachinjajwe aiseBongo 70 yrs bahati nasibu
Ukifikisha chinja sisimizi
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Nafsi yangu imekuwa kwatu kabisaView attachment 375844View attachment 375845View attachment 375846View attachment 375847View attachment 375848
Uache tamaa keshazeeka na kutangulia kaburini
![]()
![]()
![]()
..........
Lakini hakuwa mrembo kawaida tuNafsi yangu imekuwa kwatu kabisa
Kwa Enzi hizo alikuwa mrembo wa ukweliLakini hakuwa mrembo kawaida tu
Kumbe nikitania huwa unaniola kilazer eeeeUna akili sana siku hizi,
Unasoma tuition nini?

Tofautisha ukoo wa kifalme na ukoo wenuLakini hakuwa mrembo kawaida tu
Nakuzingua tu na weweKumbe nikitania huwa unaniola kilazer eeee![]()
![]()
![]()
Tunatofautiana vigezo vya urembo tukiacha vigezo vya ulimbende wa duniaLakini hakuwa mrembo kawaida tu
Kwahiyo kadri siku zinavyozidi kwenda ndio watu wakazaliwa wazuri au?? Huyu sio enzi hizo tu hata kama ingekuwa enzi hizi bado asingelipaKwa Enzi hizo alikuwa mrembo wa ukweli
Mwambie aeleweTofautisha ukoo wa kifalme na ukoo wenu
![]()
![]()
![]()
.......
Mbona mimi mwelewa tu dadake,,,hofu notNakuzingua tu na wewe
Pamoja na kutoka Royal family ila hastui... Marilyn Monroe ni mzuri zaidi yakeTofautisha ukoo wa kifalme na ukoo wenu
![]()
![]()
![]()
.......