briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Mi niko poa braza, mambo yanaenda.. Natumai na kwako piaNi nzuri kaka. Mambo yako vipi?
Mi niko poa braza, mambo yanaenda.. Natumai na kwako piaNi nzuri kaka. Mambo yako vipi?
Nimependa mwanzo wako braza. Show love for each postHuwa napenda kuuanza huu uzi kwa kusambaza upendo kwanza

Usijali dada, tutafanya hivyo.Mkishasoma mje mlete summary sie wengine sio wasomaji kabisa
Mawazo mazuri, keep it up kwa wabunifu wote.Werrason ataanza kuleta habari nyepesi nyepesi..... (Fix)
anytime kuanzia sasa
We buni tu kakitu kako uwe unaleta kila siku upatapo muda
Itakuwa vizuri sana
Pagumu hapo.
Hata mie nawaonaga wengi sana.Hata mabasi ya mkoa wapo watu wa dizaini hiyo
Jamaa ni waongo sana.Habari inaweza isiwe ya hivyo... Hiyo ni katika kupamba tu juu ili wauze
Habari za asubuhi mkuuHata mie nawaonaga wengi sana.
Hahahaaa.... Ubishi mzuri aseee.Amesema atakuja na ujio wa ubishi
Ni njema sana kaka. Habari ya wewe!Habari za asubuhi mkuu
Hapana shaka kaka. Nimeshaona wazo lako sa sijui utakuwa unafanya mda gani hasa?![]()
![]()
mm ni wa mkoani mkuu mambo hayo siyawezi
Hatuna kingine zaidi ya hicho, mwendo mdundo.Ni kweli sisi salamu yetu kubwa zaidi ni kugonga likes tu
Salamu kwakoMorning kapukuz
Mkuu uko poa!Salama kabisa kiongozi ...Kumekucha tena..
Zilikuwa barua za shule ya msingi enzi zileee, tehHofu na mashaka ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
Jambilo upo?Habari za asubuhi mkuu