EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,415
Mzima wewe?Milele daima!![]()
Mzima wewe?Milele daima!![]()
Tuko pamoja sana ndugu yangu..Ni ukweli usiopingika kaka.
Unadhani mie kama wewe... Au nikupe lingine niniKabisa kabisa dada angu..Najua husomagi biblia maneno haya utakuwa umeyapata kwenye ile kwaya..
Kabisa kabisa dada angu..Najua husomagi biblia maneno haya utakuwa umeyapata kwenye ile kwaya..

Asante kwa kuliona hilo. Tunakoelekea si sehemu sahihi kabisa.Nimepitia post za nyuma na mpaka hapa tulipofikia na kuona Makapuku Forum kwa sasa inapoteza msisimko na sijui ni kwanini?
![]()
![]()
![]()
![]()
Tujirekebisheni wadau
Hiyo mistari inapatikana katika Zaburi kama sikoseiUnadhani mie kama wewe... Au nikupe lingine nini
Jaribu kuchunguza day after day member wanazidi kupungua.. na siyo kwamba ni ubusy wa kazi, Noooo.Asante kwa kuliona hilo. Tunakoelekea si sehemu sahihi kabisa.
Hahahhah nipe kutoka KWAYA YA AIC CHANG'OMBE SASA...Unadhani mie kama wewe... Au nikupe lingine nini
Tumefanyaje tena sie makapuku jamani?Nimepitia post za nyuma na mpaka hapa tulipofikia na kuona Makapuku Forum kwa sasa inapoteza msisimko na sijui ni kwanini?
![]()
![]()
![]()
![]()
Tujirekebisheni wadau
Yes umepatia.... Ila manuu hajuiHiyo mistari inapatikana katika Zaburi kama sikosei
Huna uhakika.Hiyo mistari inapatikana katika Zaburi kama sikosei
Ni njema sana shemUsafiri wangu uligoma shemdarling. Mambo niaje lakini?
Ni ya kutoka katika Zab ila imefanywa popular sana na kwaya moja anayoiimbia...Im kidding..Hiyo mistari inapatikana katika Zaburi kama sikosei
Amani sana kaka.Zimefika mkuu ..
Hakika Sunday school ilinijenga sana mpaka sasa nakumbuka..Yes umepatia.... Ila manuu hajui
Siku njema shem.Ni njema sana shem