Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kweli kabisa ila tusiamshe vilivyolala..
Cha msingi tuepuke shari tu. ukiona mtu anatafuta shari unampotezea tu.. coz naamini "kunyamaza kimya ni pigo kubwa kwa mjinga"
Tuache tabia za nidhamu za woga za ktz. Mwembie mtu wazi kwa upendo naye atajirekebisha. Yalipita tuyaache kabisa wakuu wangu...peace sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom