Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Niko poa kabisa mukaka.... Familia yako haijambo?Morning to you too my dada...Umeamkaje leo?
Niko poa kabisa mukaka.... Familia yako haijambo?Morning to you too my dada...Umeamkaje leo?
Morning mkuuMorning all
Natumai ulikuwa na usiku mtulivu kabisa na asubuhi umeamka ukiwa na afya tele my dear.Nikutakie siku njema.![]()
![]()
![]()
Vip usafir ulikwama ???
Nimekusubiri hujatokea had asubuh imefika
Morning dear,mamboMorning all
Morning. Mzima wewe?Morning kapukuz
Hofu na mashaka ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yanguMorning. Mzima wewe?
Nashukuru kusikia hivyo mkuu...Dawa ni kupambana kuzichanga hizi Shilingi hakuna namna nyingine..Jumatano tulivu tumeshaianza hasa tukiwa maeneo yetu ya upalanganaji wa kujitafutia ridhiki. Nambie kaka.
Ni poa mamyMorning dear,mambo
Thanx hnyNatumai ulikuwa na usiku mtulivu kabisa na asubuhi umeamka ukiwa na afya tele my dear.Nikutakie siku njema.

Nashukuru kusikia upo poa mi na familia yangu tunazidi kumtumikia bwana kwa afya njema aliyotupa asubuhi hii...Niko poa kabisa mukaka.... Familia yako haijambo?
Salama kabisa Mkuu, siku iko pouwaa.Poa poa mkuu,za wewe
Luv u more dear..Enjoy the day..Thanx hny
Kaz njema
Lv yuuuuu![]()
![]()
Good sana.... Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisikaNashukuru kusikia upo poa mi na familia yangu tunazidi kumtumikia bwana kwa afya njema aliyotupa asubuhi hii...
Usafiri wangu uligoma shemdarling. Mambo niaje lakini?![]()
![]()
![]()
![]()
Vip usafir ulikwama ???
Nimekusubiri hujatokea had asubuh imefika
Milele daima!Good sana.... Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisika

Morning shemdarling.Morning all
Mungu anasaidia, niko mzima wa afya. Familia yako vipi?Hofu na mashaka ni kwako wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu
Pamoja mkuuSalama kabisa Mkuu, siku iko pouwaa.
Ni ukweli usiopingika kaka.Nashukuru kusikia hivyo mkuu...Dawa ni kupambana kuzichanga hizi Shilingi hakuna namna nyingine..
Kabisa kabisa dada angu..Najua husomagi biblia maneno haya utakuwa umeyapata kwenye ile kwaya..Good sana.... Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni hawatatikisika