Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Leo umelala sana mkuuHabari ya asubuhi FAMILIA??
Leo umelala sana mkuuHabari ya asubuhi FAMILIA??
Kwema sanaPoaz dadake, kwema pande hizo?
Nimekumisije? Uko poa?Morning all
Huu mchezo hautaki hasiraHaya ni magazeti ya kufungia maandazi pumbaaavu

Morning Wifi... Habari za nyanda za juu kusiniMornie lady
Ni shiiiiida"Wolper,harmonize kufunga,ndoa katikati ya bahari"
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Magazeti ya bongo bhana..![]()
![]()
![]()
Wala sikulala mapema nlipita humu night kali nkakuta ulishaaga kitamboLeo umelala sana mkuu
Mtumie huyo kwa ukaribu zaidi na atakusaidia.Basi huyu atakuwa ni msaada wangu mkubwa sana hapa..
Asante mkuu kwa kunijuzaMtumie huyo kwa ukaribu zaidi na atakusaidia.
Umewahi kupanda basi kutoka Mbagala hadi Bunju mtu anatafuna tu karanga za kuchemsha na kuchafua basi mwanzo mwisho ?..........

Pamoja sana kaka.Asante mkuu kwa kunijuza
Kwa kweli mimi ni mzima na nina afya tele,sina budi kumshukuru mtoa uzima,ni imani yangu pia uwepo wako hapa unamaanisha kwamba uu mzima bukheri wa afya!Mzima wewe kaka?
Ni shiiiiida
Hahahahaaa.... Mie ni wa mkoani.Umewahi kupanda basi kutoka Mbagala hadi Bunju mtu anatafuna tu karanga za kuchemsha na kuchafua basi mwanzo mwisho ?
![]()
![]()
![]()
![]()
...........

Niko salama kaka, namshukuru Mungu kwa uzima.Kwa kweli mimi ni mzima na nina afya tele,sina budi kumshukuru mtoa uzima,ni imani yangu pia uwepo wako hapa unamaanisha kwamba uu mzima bukheri wa afya!
Haswaaaaa