Hujambo??Morning all
Anarusha chambo bila ndoanoAhaa! Ndo mana huwa hafanikiwi.. sasa nmeshajua..
AiseeeeTatizo usukumani weupe adimu Sana. Ila sina hakika Kama sikuhizi hawawaoi weupe wa Caro light kwa ng'ombe 30![]()
![]()
![]()
Sikutaka hata kumsikiaKwa hiyo baada ya kuondoka ikawaje?
Tatizo ni fake Kama mtambo wa TCRAHatak kufundishwa....
Morning brizMorning fellaz
Me too
Ufundi wote alimalizia kwako, cjui uliumbwa asubuhi honey!!!Mungu fundi sana

KabisaaaaUmbea afya cuzoo![]()
![]()
mwanamke kusutwa sunnah
![]()
![]()
![]()
![]()
Cc:SumbaiNa Nini kipenzi??? Pole saana.....
Have you take some pills?? Later on takutumia tax uende Hosp mpendwa
Waliofeli hawawezi fundishaHatak kufundishwa....
Sana. kuna Watu hawajali kabisa wanaona fashion ni ujinga mtupuKinyaaa sana
Na jua la alfajiri. Unang'ombe wa kutosha??Ufundi wote alimalizia kwako, cjui uliumbwa asubuhi honey!!!![]()
Duh aisee!![]()
hapo sipo.. ila jamaa na yale mapozi yake ya Instagram yananiachaga najiuliza sanaaa..
Cjui wameshamfanya kuku mtamu?
Unatafuta kugombana na watu weweGoli LA offside??? Huyo bint alikuwa Wa kanda ya kati nadhani
