sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Njema saana Kiongoz....nipo naangalia angalia watoto Wa kisukumaNzuri tu,habari za rock city
Njema saana Kiongoz....nipo naangalia angalia watoto Wa kisukumaNzuri tu,habari za rock city
Chid mwenyewe sidhani kama ameacha kabisaSasa nashindwa kuelewa huyu amekaa sober zaidi ya miezi sita bado hajaacha..
Je yule wa kiume(Chid) aliyekaa sober siku 28 atawezaje kuacha au ndo maigizo??..
![]()
![]()
![]()
![]()
Ishu ya kufanya hivyo inabaki kuwa maamuzi Lakini hatuwezi kuupigia debe huo mtindo eti kwa Kuwa tu wanasex wao. Lazima tuukemee ndo nachomaanishaNa wanaosex kinyumenyume wana makalio yanayowasha kuliko wengine?
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Sumbai amekuwa mchawi wangu
Nakusalimia brother..? Sa sijui ni kwel..! NajiulizaNzuri tu,habari za rock city
Hujambo.....Yani una akili sana
Ukimpenda mweupe, uandae ng'ombe30Njema saana Kiongoz....nipo naangalia angalia watoto Wa kisukuma
Mungu hafanyi kazi hizo.Ni kweli..
Lakini Chid bado cna imani naye..
Mungu amuepushe tuu
Mzima kabisa, ni kweliNakusalimia brother..? Sa sijui ni kwel..! Najiuliza
Hiyo haitoshi kuwa sababu ya kufagilia wauzaji. Waingizaji bado ni tatizo.Hakuna kitu kama hicho.
Kwenye maisha sio kila kitu lazima ujaribu.
Kwani ingekuwa vipi kama wangeuza halafu wasipate wanunuzi je wangeendelea??
Na ikitokea ukajaribu basi ni lazima uwe tayari kwa matokeo ya action zako.
Kuiga kufata mkumbo ndo kunakoponza watu, hao wauzaji hawamlazimishi mtu kununua watu hununua kwa mapenzi yao.
Hello SumbaiMkuu goodmorn
Ushapata replacement ¿??
Jina tu magumashiYule mpuuzi kabisa..siyo kwa mapozi yale aisee
NaumwaHujambo.....
Kheee.....utahangaika saana...hutaki kufundishwa.Afu hujui chochote kula kimyaa![]()
![]()
![]()
Mm naona wale wanachoangalia ni faida tu so wanampeleka faster ili wat get in come fastChid mwenyewe sidhani kama ameacha kabisa
Umejiloga mwenyeweSumbai amekuwa mchawi wangu
Mungu fundi sanaNjema saana Kiongoz....nipo naangalia angalia watoto Wa kisukuma
KivipiJamanii unaniharibia ck sweet iee