Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hakuna kitu kama hicho.
Kwenye maisha sio kila kitu lazima ujaribu.
Kwani ingekuwa vipi kama wangeuza halafu wasipate wanunuzi je wangeendelea??

Na ikitokea ukajaribu basi ni lazima uwe tayari kwa matokeo ya action zako.

Kuiga kufata mkumbo ndo kunakoponza watu, hao wauzaji hawamlazimishi mtu kununua watu hununua kwa mapenzi yao.
Mi nakerwa na watu ambao hutaka kujaribu kila kitu ndo maana wanasex za ajabu ajabu ....mi nishawahi toka nduki gheto la demu baada ya kuambiwa nifunge goli la offside .....nikaweka boxer begani nikasepa
............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom