Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Mornie brizMorning fellaz
Mornie brizMorning fellaz
Unapewa mmoja tu
Hahahahhahaha ulipie cow 30 kwa mke mmoja??? Poor resource allocation....this is unfair and exploitationNdiyo kupenda huko, chezea weupe wewe![]()
![]()
![]()
AiseeeSana. kuna Watu hawajali kabisa wanaona fashion ni ujinga mtupu
SijamboHujambo??
AiseeeSana. kuna Watu hawajali kabisa wanaona fashion ni ujinga mtupu
Mtanga mwanaGoli LA offside??? Huyo bint alikuwa Wa kanda ya kati nadhani
Mimi mzima. Sijui wewe dadaMzima?
Sikutaka hata kumsikia
Nilimkataia network niliogopa kaswende inayotokea makalioni asikwambie mtu mbaya sana dudu inaharibika
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
wewe ni mwanaume wa nguvu

Kuokota nikufanikiwa....kwann ulidodosha????Mbona hujawahi fanikiwa hadi ulipookota???
Ohoo nina ranchi yangu, ongea na Manuu pembeni atakupa ubuyu, pia valentina Dadake mie naye atakwambiaNa jua la alfajiri. Unang'ombe wa kutosha??

Word!Mungu hamuepushi mtu na chochote.
Tunavuna kile tunachopanda
KakakeSana. kuna Watu hawajali kabisa wanaona fashion ni ujinga mtupu
Sio Kila kitu tuonje aisee vingine ni hatariAiseee
Duh.... Ndio nasikia kwako...Dawa yao ni una hit kisela tuuSumbai hujui msichana mweupe usukumani ni dili Sana maana hizo rangi kwao adimu. Mi nilishuhudia kaka yangu akioa usikumani kwa kutoa ng'ombe 10 na mbuzi 12.
Utaenda kuoa kusiniHahahahhahaha ulipie cow 30 kwa mke mmoja??? Poor resource allocation....this is unfair and exploitation

Niambie ndugu yanguKakake
Mzima kabisa Wii hajambo?Mimi mzima. Sijui wewe dada
Bora nilishwe kambale wachafu wa Mabibo lakini sio makalio![]()
![]()
wewe ni mwanaume wa nguvu
![]()
![]()
![]()