sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Mkuu.... Ngombe wote hao?? Unaoa wake wangapi?? Unapewa wake sawasawa na idad ya ngombeUkimpenda mweupe, uandae ng'ombe30
Mkuu.... Ngombe wote hao?? Unaoa wake wangapi?? Unapewa wake sawasawa na idad ya ngombeUkimpenda mweupe, uandae ng'ombe30
Hapo sijawafagilia badoHiyo haitoshi kuwa sababu ya kufagilia wauzaji. Waingizaji bado ni tatizo.
Ameen
Nakusalimu katika jina LA Bwana. U hali gani Dada yangu jimenaHello Sumbai
Ndio maana yakeMm naona wale wanachoangalia ni faida tu so wanampeleka faster ili wat get in come fast
Unapewa mmoja tuMkuu.... Ngombe wote hao?? Unaoa wake wangapi?? Unapewa wake sawasawa na idad ya ngombe
Ndiyo maana sijakataa Kuwa watumiaji nao ni tatizo.Hapo sijawafagilia bado
Ila nataka kila mtu awe responsible kwa matendo yake na sio kuwapa watu wengine lawama
Na Nini kipenzi??? Pole saana.....Naumwa
Safi sanaMi nakerwa na watu ambao hutaka kujaribu kila kitu ndo maana wanasex za ajabu ajabu ....mi nishawahi toka nduki gheto la demu baada ya kuambiwa nifunge goli la offside .....nikaweka boxer begani nikasepa
............
KabisaaYetutuu
Mbona hujawahi fanikiwa hadi ulipookota???Weewe mwenyewe unasubili mtu atupe.....
Heshima kwako Mzee....Fanya hivi wenzako hatuongeag sana tingisha mpesa kule....then kaa kimya sema mawili matatu kesho utasikia unaitwa honeylove....
Ukikaidi endelea kurusha ndoano bila chambo
Sumbai hujui msichana mweupe usukumani ni dili Sana maana hizo rangi kwao adimu. Mi nilishuhudia kaka yangu akioa usikumani kwa kutoa ng'ombe 10 na mbuzi 12.Mkuu.... Ngombe wote hao?? Unaoa wake wangapi?? Unapewa wake sawasawa na idad ya ngombe
Sumbai amekuwa mchawi wangu
Hatak kufundishwa....Umejiloga mwenyewe
Mkuu achana n'a Sumbai yéyé kaokota nilichotupa mimiAhaa! Ndo mana huwa hafanikiwi.. sasa nmeshajua..
I dont care......Ndiyo maana nilisema swala la kuacha madawa ni la mtumiaji mwenyewe kwanza. Lakini lazima tupige marufuku waingizaji pia
Tatizo usukumani weupe adimu Sana. Ila sina hakika Kama sikuhizi hawawaoi weupe wa Caro light kwa ng'ombe 30Wote hao???

Hebu mwambie,akae akiwa anajuaSumbai hujui msichana mweupe usukumani ni dili Sana maana hizo rangi kwao adimu. Mi nilishuhudia kaka yangu akioa usikumani kwa kutoa ng'ombe 10 na mbuzi 12.
Goli LA offside??? Huyo bint alikuwa Wa kanda ya kati nadhaniMi nakerwa na watu ambao hutaka kujaribu kila kitu ndo maana wanasex za ajabu ajabu ....mi nishawahi toka nduki gheto la demu baada ya kuambiwa nifunge goli la offside .....nikaweka boxer begani nikasepa
............