Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Una akili sana, unanifaaa[emoji173] [emoji85]Kweli hapo atalaumiwa mtumiaji lakini kwa upande mwingine wauzaji ni tatizo tusiseme tu kwa nini atumie tujiulize Kama wasingeuingiza nchini wangeutumia? Hata Kama kungekuwa na mateja lakini si kwa kiwango ambacho kiko sasa. Mbaya zaidi hawa ma drug delears ni watu wenye nyadhifa kubwa.