Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jimena tetea kakako upwekeee jamni
Hii binti ya ufipa unamalisa mimi kwa mapenzi kwake[emoji173] [emoji179] [emoji180] [emoji178] [emoji259] [emoji132] [emoji131] [emoji178] [emoji180] [emoji173] [emoji179] [emoji180] [emoji131] [emoji178] [emoji173] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85]
Eti........
Tatizo hujui timing.... Mwezi mtukufu huu Linamo hawez kukusikiliza....
 
Kwahiyo sisi ambao hatunusi Ungabu hatujui unapouzwa?
Mfano kitaani kwangu wadhikaji zangu wa zamani 80% wanakula unga lkn Bitoz najitambua na sijawahi onja hiyo kitu
Huwezi sema watengenezaji wa pombe au gongo walaumiwe kisa walevi wanakufa ,pia mbona watu wanasex kinyumenyume na wengine hawafanyi ?
Uamuzi wa maisha yako upo mikononi mwako cha msingi uwe na msimamo hata km unaonekana mshamba
Y.O.L.O
...............
Utakuwa hujanisoma vizuri nimesema hata hao watumiaji ni tatizo Lakini tatizo kubwa pia lipo kwa hao drug dealers.
 
Back
Top Bottom