manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Zimefika kabisa my sisy nikutakie siku njema..OK msalimie wii
Zimefika kabisa my sisy nikutakie siku njema..OK msalimie wii
Pamoja sana mkuu.Mambo yalikuwaa mengi ndugu,lakini sasa nipo hapa kama kawaida.
Poa poaPamoja sana mkuu.
Na wewe pia my kakaZimefika kabisa my sisy nikutakie siku njema..
Nashukuru sana dada kwa kuwa kiungo muhimu katika nyanja hii ya kutupasha habari....Natumai unapoelekea utakuwa unatuletea magazeti yale ya digitally unayoweza kufungua na kurasa zake kabisa kupitia mtandao...Naelekea kuyasoma hapa..Ubarikiwe.
Sawa kabisaNiko bize .....nikirudi nikute mmefikisha![]()
K replies
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Pole![]()
![]()
ni kwamba huoni salamu zangu au hupendi nikuquote
![]()
![]()
![]()
na kupita tuOK mzima lakini??Pole![]()
![]()
![]()
Nisamehe bure tu
Utetezi
![]()
![]()
![]()
![]()
Tatizo we ulisalimia wakati wa kazi
Kwahiyo nikafanyana kupita tu
Mzima tu, nipe reportOK mzima lakini??
Mmmh sasa hivi ndo inaonekana ile ya zamani ila toka asb ilikuwa ile isiyo na mvutoHapana sijarudisha mkuu.
![]()
![]()
![]()
Avatar ilikuwa mbaya!!!Shida nini mkuu.
Habari ya asubuhi makapuku wote.
Amkeni tukajenge taifa,leo sitaki kusikia habari za "nitakuja kupaka rangi".
