Nadhani ni wwRais wetu hapo ndio wewe?
HaaaaaaNadhani ni ww
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
...
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Afadhali umerudisha hii Avatar ile kwakweli hapana, ingenichukua miezi 3 kuielewaPeace
Mmmmmh [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Haaaaaa![]()
Mimi hapo mkuu
Hapo utaona kama masaa yameganda.Mambo ya Youngblood hayo daah
Nafurahi kusikia[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
By the way mi na youngblood hatujagombana na sidhani kama tunaweza kugombana kwahiyo hilo lisikupe shida.
One love
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akiwa Tanga![]()
.......
Mbona mguno?Mmmmmh [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Nimeona watu wananikimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23]Afadhali umerudisha hii Avatar ile kwakweli hapana, ingenichukua miezi 3 kuielewa
Huu ni uongo japo unafanyika a level sio ya mchezo mkuuUnaeza soma ila utaregardiwa as private kandidates mkuu
Hiyo inafaa saana kama ni mchepuo Wa sanaa ila kwa sayansi ni vigumu kidogo kwenye swala LA coverage....
Ile ya mwanzo sikuielewa kabisaaNimeona watu wananikimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio unafanyika hususani resetazHuu ni uongo japo unafanyika a level sio ya mchezo mkuu
Unatania wewe, unazungusha barua!Ndio unafanyika hususani resetaz
Kuna wadau nawafahamu moja alisoma cbg akarotate 360 akaenda hgk mwaka mmoja five and six akapata miguu mitatu sasa hiv keshamaliza chuo tunazungusha nae bahasha. Mtaani