Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sisemei kwangu tu nasema na kwa wengine, angalia kuanzia post #48911 mpaka hapa umelike posts ngapi.
Ooh mi nawapa wale wanaonipa tu
Nilishaacha kitambo sana kupigia kelele watu walike post za wenzao badala yake siku hizi nampa yule anaenipa

Akiwa mgeni nampa lakini namwambia nikiona hasomeki nampotezea vile vile
 
Kuna KAPUKU hawatoi kabisa likes acha kumzingua Jimena Braza km hawa like post zake yy alike iweje
Kauzu zaidi ya dagaa
But kwako sioni tatizo
Be peace
............
Sawa lakini sometimes inabidi tuwe fair ukitaka mtu alike kwako wewe pia utoe like,we unasema kuna watu hawalike kwake that's why halike lakini ukiangalia hao watu ambao hajalike post zao wamelike posts zake!....
Tunajaribu kurekebishana kwasababu mwisho wa siku hapa hakuna aliye juu zaidi ya mwenziei *wote ni sawa.*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom