Makapuku Forum

Makapuku Forum

1465516831929.jpg
 
Naona kijana dharau zimezidi au??? Hivi unajiona weewe umesoma saana au???? Who told you kapuku ni wanafunzi??? Acha zako braza....
Nimekustah kwa vile tunafamiana..ila you always think and talk negative about this people

Kuna watu wapo hapa wana profile kubwa na wanasifa kubwa humu Jf kyliko weewe...

Behave pls

Acha kujishtukia mkuu, hakuna siku nimethink negative about anyone humu.

Hivi kuwa mwanafunzi ni tusi? Kuna jukwaa lisilo na wanafunzi?
 
Kumpotezea ndio ila huyu Jamaa rafiki yangu naona anazidi kujisahau...

Mkuu sumbai, wewe umeshindwa kunisoma kitu kimoja, do you think kwamba nyote mko sawa?

Uliona quote ile ilikuwa ya post ipi? Msiwe kama dreva boda boda akikuta mwenzake kapata ajali anamvamia wa pembeni bila hata kuuliza chanzo ni nini, ukute wakati mwingine boda boda ndiyo chanzo!

Penda kufuatilia chanzo ni nini kabla ya kumhukumu mtu ndugu, haina maana eti ukiwa Kapuku ukitukana au ukiongea famba usijibiwe kisa wewe ni Kapuku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom