Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Siku nyingine msirudie makosaMkuu Baba J amebana na sasa inaelekea kupitiliza kabisa maana anavyobana mirija huko juu waathirika wakubwa ni sisi wa chini...
Ujumbe huu uwafikie wote waliopigia kura Fisiem..Wale wanaowaita mafisadi na kuwabana sana huku mtaani sisi tulikuwa tunawaita matajiri sababu kupitia pesa zile tulinufaika mno...Sasa ni miayo tu asubuh mpaka jioni..Siku nyingine msirudie makosa
Fisiem ni ile ile
Ndio kutumbua kwenyewe ninakoombaMwishoe litapotea katika orodha yetu
Msi???....kina nani?Siku nyingine msirudie makosa
Fisiem ni ile ile
AiseeeeeUjumbe huu uwafikie wote waliopigia kura Fisiem..Wale wanaowaita mafisadi na kuwabana sana huku mtaani sisi tulikuwa tunawaita matajiri sababu kupitia pesa zile tulinufaika mno...Sasa ni miayo tu asubuh mpaka jioni..
Sawa kabisaNdio kutumbua kwenyewe ninakoomba
Wote wenye vikatio na ambao wana uhakika wa kupiga kuraMsi???....kina nani?
Morning dogoMorning wakubwa

Wapenda ukubwa eeMorning dogo![]()