We acha tu.....Morning mkuu.
Leo umechelewa sana.
Poa thanks kwa magazetiWe acha tu.....
Tatizo nilichelewa sana kulala, ila kazi nimeshakamilisha
Nimeamka salama kabisa rafikiMorning Linamo.
Natumai umeamka salama kabisa.
HeheheheMorning to you my dada...Sichomoki hapa mpaka ma-neeeeeeews.
Nipogo my kaka. Umeadimika Sana. WiFi yangu anaendeleaje??To you too my sisy..Upogo?
Mornie mamy..Morning family
Nashukuru sana dada kwa kuwa kiungo muhimu katika nyanja hii ya kutupasha habari....Natumai unapoelekea utakuwa unatuletea magazeti yale ya digitally unayoweza kufungua na kurasa zake kabisa kupitia mtandao...Naelekea kuyasoma hapa..Ubarikiwe.Hehehehe
Hope umesoma yote tayari
Baba Jesca anabana sana my sisy so yatubidi kupotea mjini kwa mda fulani ila nashukuru kusikia upo poa na sisi wote tupo fit sana na wifi yako hapa..Nipogo my kaka. Umeadimika Sana. WiFi yangu anaendeleaje??
Habari ya siku nyingi Mkuu.Baba ***** anabana sana my sisy so yatubidi kupotea mjini kwa mda fulani ila nashukuru kusikia upo poa na sisi wote tupo fit sana na wifi yako hapa..
Poa sana ndugu yangu..Umeadimika mno..Habari ya siku nyingi Mkuu.
OK msalimie wiiBaba ***** anabana sana my sisy so yatubidi kupotea mjini kwa mda fulani ila nashukuru kusikia upo poa na sisi wote tupo fit sana na wifi yako hapa..
Mambo yalikuwaa mengi ndugu,lakini sasa nipo hapa kama kawaida.Poa sana ndugu yangu..Umeadimika mno..