Makapuku Forum

Makapuku Forum

....ni kweli kabisa, nitakulinda na hutopata madhara yoyote, iwe ninakulindia chumbani, sebuleni au nyumba ya wageni. Tutalindana
Misungwi ndani ndani huko kama unaenda Misasi na siku hizi Masasi Mtwara ndo makao
Huo ulinzi shirikishi sasa😂😂😂

Oohh sawa naona umeamia kwa kina konde, sisi tupo na mwanza yetu
 
Back
Top Bottom