Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,000
- 84,243
Nembe watamu sema sikuizi vinauzwa vidogo vidogo sio kama zamani zinajaa mayai tumboni, hao mbete na ningu ni nini?...duh, hadi furu unawajua kaka, wewe utakuwa jorowe, basi hata gogogo utakuwa unawajua vizuri au nembe na mbete au ningu