😂 dah, kwahiyo Obe na moudgulf mmeamua kuniweka mtu kati. Shida nlienda mwanza alafu Seran akagoma kuonana, pamoja na kumnunulia kandoo kamejaa sato.
Anasema alikuletea ndoo nzima ambayo imejaa Sato, Sangara na Furu lakini ukaishia kumtelekeza kwenye mitaa ya Mabatini.Mimi mshika pembe tu kiongozi😆 huyo kwa shunie humwambii jambo akakuelewa🤣
Mwambie anisamehe bure! Kosa ni kurudia tu.. samehe 70x7😃 saiz ata akiniletea mawashio mbiooo ntafuata🤭Anasema alikuletea ndoo nzima ambayo imejaa Sato, Sangara na Furu lakini ukaishia kumtelekeza kwenye mitaa ya Mabatini.
Hilo limeujeruhi moyo wake.
Sasa fanya kitu ili tuamini kweli unaomba msamaha na nimshawishi akusamehe.Mwambie anisamehe bure! Kosa ni kurudia tu.. samehe 70x7😃 saiz ata akiniletea mawashio mbiooo ntafuata🤭
Sawa ntafanya hivyo pasipo na shaka😅 sasa ataipataje! Au ndio mambo ya soft copy😆Sasa fanya kitu ili tuamini kweli unaomba msamaha na nimshawishi akusamehe.
Fanya kumnunulia ndoo yenye Sato, Sangara na Furu kama alivyofanya yeye.
Hakuna soft copy hapo mkuu Seran ni mwendo wa kumtafuta vichochoro vyote vya Mwanza kama hajaonekana unahamia Shinyanga then Dodoma ikibidi unakuja na ndoo yako mpaka Dar, kama hujamuona utaacha ndoo na mazaga zaga yote hapa home kisha tunaenda kumtafuta😂Sawa ntafanya hivyo pasipo na shaka😅 sasa ataipataje! Au ndio mambo ya soft copy😆