Hapana aiseee me simuwezi huyoSasa namm leo bamtu karudi sitaweza kuendelea mpaka hapo, goma lako hilo mama![]()


Acheni kuzungumzia vijana wa hovyo sharo nipo hapa namana hamnioni, msifanye nikaoneka ni mwenye mkosi na nisiye na bahati ya kupendwa na pisi kali.Humuwezi vipi tena wakati kijana katulia na amenyoooka kabisa si eti Poker
Tunazungumzia vijana wenye pesa ndugu mjusi 😃Acheni kuzungumzia vijana wa hovyo sharo nipo hapa namana hamnioni, msifanye nikaoneka ni mwenye mkosi na nisiye na bahati ya kupendwa na pisi kali.
Ninazo magunia 50 ndani achilia mbali bank.Tunazungumzia vijana wenye pesa ndugu mjusi
Ningu ni aina furani ya samaki wanapatikana kwenye maji baridi, hasa maji ya mto.Nembe watamu sema sikuizi vinauzwa vidogo vidogo sio kama zamani zinajaa mayai tumboni, hao mbete na ningu ni nini?
Mawashio ni chakula gani hicho?Karibuni aisee😆😆 ntawapikia ugali na mawashio😁
Furu😆😆Mawashio ni chakula gani hicho?
Kumbe! Kwahiyo vile visamaki vidogo wanapenda sana kuvila wakerewe huvijui?Mi ni mgeni upande huo vyakula vingi sivijui.
Labda matoke, ugali wa muhogo na dona tu.
Sijawahi kuwafahamu..Ningu ni aina furani ya samaki wanapatikana kwenye maji baridi, hasa maji ya mto.
Sijajua kama wanapatikana Ziwa Victoria.