Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Liked ....'hata isipotiwa'Nia ipo palepale ata isipotiwa😆 kuna mvua wapi huko mwenzetu..
Suala la wewe na Poker mtiane nia kipindi hiki anamsubiria Shunie ndiyo liko mezani. Venye mashabiki zake tunasubiria apone kichwa, mtakaribia hapa Mtwara Shangani mje mjinaze msilowe. Mvua hapa Mtwara ni kubwa