Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,000
- 84,243
Sawa nitafuata huu utaratibu wako wote huenda utanifanikishia jambo langu😅Hakuna soft copy hapo mkuu Seran ni mwendo wa kumtafuta vichochoro vyote vya Mwanza kama hajaonekana unahamia Shinyanga then Dodoma ikibidi unakuja na ndoo yako mpaka Dar, kama hujamuona utaacha ndoo na mazaga zaga yote hapa home kisha tunaenda kumtafuta😂