Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamani leo nimesema wacha nitumie Browser[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitu nakutana nacho huku[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Najikuta nimequote comment moja zaidi ya mara kumi[emoji28]
Sehemu ya kufuta sioni... inabidi nirudi back naquote tena...Aloooooooh!!!
Watu wa Browser wanawezaje haya makitu[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukome auntie na kiherehere chako we huoni kila siku watu wanalalamika na browser mpya
 
Mimi Browser imenishinda kabisa....
Ila ajabu wakati najoin JF nilikuwa natumia Browser.. na nadhani haikuwa na mambo mengi kama sasa...

Ilivyokuja App tu nikahamia huku.... Browser naweza kumaliza hata miezi na miezi nisiingie...

Kweli kwenye App wametusahau sana.. Notifications tu kipengele..
Kikubwa uhai auntie
 
Back
Top Bottom