Makapuku Forum

Makapuku Forum

Miss you too dada kumbe ndiyo umejichimbia huku ndiyo maana siku hizi hauonekani
Miss you mno Mdogo wangu..
Unajua kabla sijatambua uwepo wa hii ID nikawa najiuliza huyu Binti yangu yuko wapi?

Siku nimekuja kuona mwandiko wako kwenye nyuzi fulani ndiyo nikakutambua..

Nipo huku Mdogo wangu...Aunty ako Shunie kanificha huku jamani[emoji23]
 
Basi mimi huu muonekano wa sasa wa browser naona ndiyo una nafuu kidogo

Siku hizi natumia kote kote maana app nayo ndiyo kama wameisusa

Notifications bado ni janga kubwa mno yani
Mimi Browser imenishinda kabisa....
Ila ajabu wakati najoin JF nilikuwa natumia Browser.. na nadhani haikuwa na mambo mengi kama sasa...

Ilivyokuja App tu nikahamia huku.... Browser naweza kumaliza hata miezi na miezi nisiingie...

Kweli kwenye App wametusahau sana.. Notifications tu kipengele..
 
Ha ha ha...
Wewe HM wewe!!!! Ndiyo Umekuja na hiyo mbinu usinipe lift? Utanibeba tu[emoji23]

Nimekuuliza umeshafika 25 Makonde?
Kwa maelezo zaidi muone Hadde [emoji2]
😀😀😀😀 mie nikupe wewe lift mwenye jeep na mie starlet glanza hutoshi hata kwenye hari napajua wapi 25 mie wakuja mjini badala mnipe uj
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mie nikupe wewe lift mwenye jeep na mie starlet glanza hutoshi hata kwenye hari napajua wapi 25 mie wakuja mjini badala mnipe uj
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba Starlet??? Ni sawa....
Usipajue kabisa.. ni huyo wewe...
Mimi mwenyewe nasubiri Hadde anipeleke.
Ni njia ya kwenda kwao huko[emoji23]
 
Miss you mno Mdogo wangu..
Unajua kabla sijatambua uwepo wa hii ID nikawa najiuliza huyu Binti yangu yuko wapi?

Siku nimekuja kuona mwandiko wako kwenye nyuzi fulani ndiyo nikakutambua..

Nipo huku Mdogo wangu...Aunty ako Shunie kanificha huku jamani[emoji23]
Hahaha wazee wa kukariri miandiko wengine mbona hatuwezi jamani

Basi ngoja na mimi nitulie huku kwanza maana kwa sasa sina kijiwe rasmi

Vile vijiwe vyangu vya zamani vyote siku hizi sivielewi tena nimevikacha
 
Mimi Browser imenishinda kabisa....
Ila ajabu wakati najoin JF nilikuwa natumia Browser.. na nadhani haikuwa na mambo mengi kama sasa...

Ilivyokuja App tu nikahamia huku.... Browser naweza kumaliza hata miezi na miezi nisiingie...

Kweli kwenye App wametusahau sana.. Notifications tu kipengele..
Aahh yaani mimi browser sikuwahi kuielewa kabisa

Nilikuwaga naingia mara moja moja kufungua baadhi ya vitu ambavo havifunguki kwa app

Ila angalau sasa hivi naweza hata kujibu na comments na kufanya mambo mengine mengi tu
 
Back
Top Bottom