Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
I know.... Tulia..
I know.... Tulia..
Haha nilimaanisha whatsapp









Hahaa dada inaweza kuwa njia ya kwenda kwetu ila mwenyewe huwa naishia kupaona tu paleee
Kwamba Starlet??? Ni sawa....
Usipajue kabisa.. ni huyo wewe...
Mimi mwenyewe nasubiri Hadde anipeleke.
Ni njia ya kwenda kwao huko![]()
Mwenzangu na nipakishua kweliHahaa dada inaweza kuwa njia ya kwenda kwetu ila mwenyewe huwa naishia kupaona tu paleee
Sehemu za kishua hizo asee
Halafu nilishatoka kule siku hizi niko tu huku mtaani kule huwa naenda mara moja moja tu kusalimia

Group la kupunguza ndambi
Dunia uwanja wa fujo Mdogo wangu![]()


eti ndambiHapana, nimenusa rushwa.Mmmh umeona ka wivu eee
Hajanitumia, ndio namsubiriNa mimi naombeni mnitumie jamani
Ila wewe...

Nyue chafueni tu cv yangu. Sichaguki ng'oooo!
Violence..
Daah!! Hii dunia nyie acheni tu
Shika adabu wewe Binti.. na huku wewe ndiyo umenifundisha maneno maneno![]()


Welcome dota. Na anayekuficha mwambie nataka mahari.Hahaha wazee wa kukariri miandiko wengine mbona hatuwezi jamani
Basi ngoja na mimi nitulie huku kwanza maana kwa sasa sina kijiwe rasmi
Vile vijiwe vyangu vya zamani vyote siku hizi sivielewi tena nimevikacha
🚶🚶🚶🚶Haha kwamba eti hapajui EB25
Hebu asituchore hapa
Tunamfahamu huyo mzee wa vijiwe vya kishua
Hivi sio wewe ndio kipenzi kikuu cha browserAahh yaani mimi browser sikuwahi kuielewa kabisa
Nilikuwaga naingia mara moja moja kufungua baadhi ya vitu ambavo havifunguki kwa app
Ila angalau sasa hivi naweza hata kujibu na comments na kufanya mambo mengine mengi tu



Weeeh!! Yule anajaza peke yake nakwambia. Akinipigiaga naishia kuona pua na mdomo tu.


sasa mimi vyote huoni sura ilivyo pana auntie
Auntie kwa huyo hapana.. siwezi kuchezea bundle languLabda mwingine..





HaahahhahaAuntie unaona sasa mazarau yake?![]()
Auntie nimekutetea hapo sura pana tunajaza wote
Auntie Shunie natukanwa namna hii na wewe unanyamaza tu kweli???
Swala la Kitambi siyo poa....
Chezea hadi tukaleft groupIla binti huishiwi vituko wewe...



nacheka mimi