Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,203
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Weeeh!! Yule anajaza peke yake nakwambia. Akinipigiaga naishia kuona pua na mdomo tu.
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Kimbinyiko wewe.
Swala la Kitambi siyo poa....Nilikwambia uniombee kitambi kiishe ukashindwa, sasa nitakuaminije tena uniombee![]()
😅😅😅😅😅Bando which, who,where[emoji134
KwendraaaaaaaaDada yangu mzuri mzuri, shikamoo!
Ujue leo hatujasalimiana![]()
Kwa hiyo sisi ndiyo lolote litupate siyo?😅Mie sina![]()
Naomba hela dada.
Auntie Shunie natukanwa namna hii na wewe unanyamaza tu kweli???
Nimecheka...





Hivi dada yangu unaujua vizuri ubwabwa ndondo wewe? Na hili baridi na kachai ka tangawiziSwala la Kitambi siyo poa....
Chezea hadi tukaleft groupIla binti huishiwi vituko wewe...



Mie niliingia sikuielewa sioni pa kutafuta chochote, nataka kulog out napo sipaoni aloooh!! Sijawahi ipendaJamani leo nimesema wacha nitumie Browser
Kitu nakutana nacho huku
Najikuta nimequote comment moja zaidi ya mara kumi
Sehemu ya kufuta sioni... inabidi nirudi back naquote tena...Aloooooooh!!!
Watu wa Browser wanawezaje haya makitu![]()

Si unanidai wewe?😅😅😅Naomba hela dada.
🤣🤣🤣🤣
Hilo jina limekaa kama tusi ujue!! Sijui hata lina maana gani.
Tukiwa tunasubiri unilipe.Si unanidai wewe?![]()
Uuuuuuuweee!!!Hivi dada yangu unaujua vizuri ubwabwa ndondo wewe? Na hili baridi na kachai ka tangawizi![]()
Nakupenda pia...My one and only sister, ninaempenda![]()
Mimi kwa kweli sijui ni kitu gani hiki😄Mie niliingia sikuielewa sioni pa kutafuta chochote, nataka kulog out napo sipaoni aloooh!! Sijawahi ipenda![]()