Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Kipindi kile kweli tulikuwa hatuna amaniOooh!! Hapo sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipindi kile kweli tulikuwa hatuna amaniOooh!! Hapo sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sanaSi auntie yako Maki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nishampata anayenikwamishia mambo yangu khaaaah[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
😅😅😅Kumbe nawe unaomba[emoji134][emoji134][emoji134]
Basi ndio maana mambo hayaendi, we maombi yako hayavuki hata bati.
Vidio call na sura yake pana anajaa mwenyewe kwenye camera, nipigie mwenyewe bwana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani hizo auntie we hazijakufikia nitamwambia auntie makii apige video call atuunge wote wa3 si utakuwa umerishika auntie yangu
Yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kipindi kile kweli tulikuwa hatuna amani
Achana na kuombea mambo yangu, unayakwamisha tu.[emoji28][emoji28][emoji28]
Nitakie radhi we Mdada...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo kwenye sura pana auntie bwana tunajaa wote wala sio auntie makii tuVidio call na sura yake pana anajaa mwenyewe kwenye camera, nipigie mwenyewe bwana.
Pamoja na vidio kolu ila nazitaka.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣We una matatizo makubwa, na anayekuombea naye ndio vile tena[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale maisha sitaki hata kuyakumbukaYaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Furaha ingetoka wapi kwamfano!!
Weeeh!! Yule anajaza peke yake nakwambia. Akinipigiaga naishia kuona pua na mdomo tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo kwenye sura pana auntie bwana tunajaa wote wala sio auntie makii tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kimandolu wewe
Tena kama wewe...Inabidi nikufanye kuwa prayer point kabisa...Achana na kuombea mambo yangu, unayakwamisha tu.
Auntie kwa huyo hapana.. siwezi kuchezea bundle langu🤣Labda mwingine..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani hizo auntie we hazijakufikia nitamwambia auntie makii apige video call atuunge wote wa3 si utakuwa umeridhika auntie yangu
Auntie unaona sasa mazarau yake?😀😀😀Vidio call na sura yake pana anajaa mwenyewe kwenye camera, nipigie mwenyewe bwana.
Pamoja na vidio kolu ila nazitaka.
Nilikwambia uniombee kitambi kiishe ukashindwa, sasa nitakuaminije tena uniombee[emoji134][emoji134][emoji134]Tena kama wewe...Inabidi nikufanye kuwa prayer point kabisa...
Maana unanileteage mabalaa sana[emoji1787][emoji1787]
Bando which, who,where[emoji134][emoji134]Auntie kwa huyo hapana.. siwezi kuchezea bundle langu[emoji1787]Labda mwingine..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo kwenye sura pana auntie bwana tunajaa wote wala sio auntie makii tu
Dada yangu mzuri mzuri, shikamoo!Auntie unaona sasa mazarau yake?[emoji3][emoji3][emoji3]