Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,808
- 182,978
Nitafanyaje sasa na ndio mtu hawezi kuchagua ukoo. Unajikita tu uko na udungu na watu wa ajabu ajqbu basi tu unavumilia huku moyoni unaumia.Hivi Una nini wewe?[emoji2][emoji2]
Nitafanyaje sasa na ndio mtu hawezi kuchagua ukoo. Unajikita tu uko na udungu na watu wa ajabu ajqbu basi tu unavumilia huku moyoni unaumia.Hivi Una nini wewe?[emoji2][emoji2]
Sasa alimaanisha mtu chake gani jamani?Khaaaa auntie jamani hajamaanisha mtu chake mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama nakuona sasa, sijui maneno yatatoka au utaishia kuliaaaa.
Swali zuri!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi utaishi kwa amani kweliii
Iphone ya kikuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi sijui, ila wanasema Covid...
Bado unajiandaa kupikea ile Iphone yako?
Ungekuwa na kichwa kama changu ungeringa sana[emoji1787][emoji1787]Si kama chako tu[emoji2]
Tunadanganywa hivyo...Uh!! Ndio mnavyodanganyanaga eeh?
Asikutishe huyo, achana nae. We jiandae kupokea zawadi ila sasa Dec kweli unazaliwa!!Auntie mbona unanitisha sasa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila auntie we na mama mchungaji Heaven Sent mnamfata fata kidogo Saint Anne
Haki alonirogea ndugu zangu aombe nisimtambue. Nikimtambua nakihamishia usoni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi kuna mda tunalogwa sio akili zetu
Mimi sina jambo kabisa mzee mwenzangu.Ndugu zangu wa daaamu kabisa, hamjambo humu?!?
Ameeeeen[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alilililiiiiiiiiii
Na mbengo zeta fongoka[emoji28]
Nimekuta mentions zenu, nusu nitupe simu. Nikajua nasutwa leo 😁😁😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila auntie we na mama mchungaji Heaven Sent mnamfata fata kidogo Saint Anne
Uzi utajumuisha kila mmoja na madhambi yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwenye uzi sisi tunahusika vipi jamani
kuna nn tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu chake Auntie...Umesahau?
Mtoto eti, dunia ina mambo hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niache kujiita mtoto kisa uzee hapana kwakweli