Naaaaaam!!!!!Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala [emoji847] mtoto mlito mlito
Sasa mambo ya kuzikana yanatoka wapi mapema yote hii jamani[emoji2297][emoji2297][emoji2297] shindwaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka balaa...
Hata ukinikana wewe bado ni ndugu yangu tu...tunaweza tusiongee miaka/ miezi ila siku ukifunga kauli/ nikifunga kauli, utanizika/ nitakuzika bila kupenda[emoji2]
Huwezi kuukana Undugu...Urafiki sawa....
Sasa huyo uliyemwambia kwamba hunijui nenda katengue kauli yako[emoji2]
Ubinadamu kazi sana, zawadi unapewa halafu unalalamika mweeh!! Usijali, ya mwaka huu nitai-upgrade[emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe kila siku unanidai...
Hebu sema hapa naweza kupata watu wakanilipia hilo deni[emoji2]
Au ni ile zawadi kama uliyonitumia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana ndugu yangu akili zako wewe[emoji114]
Auntie unavyomtetea kipenzi chako[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Uchochezi huo Auntie...
Twende taratibu...[emoji2]
Ila anaweza kinilipia.....Hana baya..
Nyie subirini nawaambia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi auntie kuweza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie yaani we na Saint Anne hamna tofauti yaani ulivyonijibuNaaaaaam!!!!!
Twende kazi Aunty akee...
Namruka ndio, kwani mie nawajulia wapi mimi[emoji2369][emoji2369][emoji2369]Ila auntie kwa akili zako unaweza ukawa umemruka kweli
Auntie na me naomba zawadiUbinadamu kazi sana, zawadi unapewa halafu unalalamika mweeh!! Usijali, ya mwaka huu nitai-upgrade[emoji6]
Nakudai milioni moja na eflu ishirini mia mbili.
Yanaishaje na hamyalipi ndio kwanzaaa mnaongezea na ya kikuu nyie[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Haya madeni kila siku hayaishi
Na me nimeunganishwa kwenye kutokujulikana auntieNamruka ndio, kwani mie nawajulia wapi mimi[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ajaribu aone..
Ananijua vyema Auntie[emoji23]
Na vichambo vyake hivyo angejua hajui
Na uzee huo unajiita mtoto[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Je wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala [emoji847] mtoto mlito mlito
Kipenzi chake sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie unavyomtetea kipenzi chako
Lete lete mambo mama.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie yaani we na Saint Anne hamna tofauti yaani ulivyonijibu
Siwatambui kabisa mimi.Na me nimeunganishwa kwenye kutokujulikana auntie
He he he...Kufa kupo tu...Sasa mambo ya kuzikana yanatoka wapi mapema yote hii jamani[emoji2297][emoji2297][emoji2297] shindwaaa!!
Kauli hiyo sitengui "simtambui mtu huyu" [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ubinadamu kazi sana, zawadi unapewa halafu unalalamika mweeh!! Usijali, ya mwaka huu nitai-upgrade[emoji6]
Nakudai milioni moja na eflu ishirini mia mbili.