Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,323
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie unavyomtetea kipenzi chako
Mtu chake Auntie...Umesahau?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie unavyomtetea kipenzi chako
Aloooooooh!!!!Nyie subirini nawaambia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie yaani we na Saint Anne hamna tofauti yaani ulivyonijibu
Wacha Bwana..[emoji2]Namruka ndio, kwani mie nawajulia wapi mimi[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanaishaje na hamyalipi ndio kwanzaaa mnaongezea na ya kikuu nyie[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Haki sitengui, labda ukishalipa deni langu.He he he...Kufa kupo tu...
Kwamba utengui kauli? Apia!!!
[emoji23]
Unadhani mie ndio siteseki!! Si najikaza tu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba Milioni ngapi?
Nyieeee!!!! Oneni mambo yanayonitesa kwa huyu ndugu yangu[emoji2]
He he he he....Na me nimeunganishwa kwenye kutokujulikana auntie
Si ndio!Wacha Bwana..[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki nimechekaa, sasa wewe unaweza kuchamba hata sisimizi tu kweli?
Mweeeeh! Covid which? Vita si imeimaliza!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikuu wamestop. Covid hiyo[emoji2]
Kichwa kama mbegu ya ubuyu.He he he he....
Huyo mzoeee Auntie....ndiyo ndugu yetu tena tunafanyaje?
Si unajua kila familia ina yule ndugu, yule....Nisimalizie...
Maana nitachambwa hapa[emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2192826
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanaishaje na hamyalipi ndio kwanzaaa mnaongezea na ya kikuu nyie[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipenzi chake sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnajua kuniwezaaa!! Hawa viumbe mnawatoaga wapi nyie watoto!!
Kama wewe ukirudia tena ujinga wako nitakutandika viboko hutaamini majicho yako.