....ila hii ni kweli anko, familia yetu imejaa wivu sana fikiria juzi yule mtoto wa babu kaniona nimenunua toothpick akasema siku hizi nina maringo na ninajifanya myuropa sana. Sikumjibu maana angekuja kunisemea kwenu wajomba zangu nikakosa radi bure kwa kununua toothpickNi wivu wa familia yetuu ...achana nae
...hii kachumabri mbona pilipili inazikimbia nyanya!!? Ila pilau limekaa mwakemwake baabake
...huyo sio mzee kama mimi. Mimi ni kijana ila nna mambo ya kizee ndiyo sifa yangu kubwa. Stivu yeye ni mzee ila sijui kama ni msanii wa filamu, vichekesho au muziki. Zaidi nilikuwa namsikia enzi zangu nakwenda Akudo anaimbwa ""stivu nyerenyere tajiri mufupi"''. Usinifanishe naye vinginevyo nitaenda kwenye TV niite wanahabari nikupe masaa 48 ukanushe mfananishoNamafananisha na binamu Obe yaani sijui kwa nini
...habari nzuri sana hii. Itawasaidia sana wenye matatizo hayaUnafahamu nini kuhusu tiba ya upandikizaji wa uboho? wamesema ni mpya sana kwenye Taifa la Tanzania ambapo sasa imeanza kutolewa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili ambayo sasa inaingia kwenye orodha ya Hospitali chache za Afrika zenye uwezo wa kutoa matibabu haya. View attachment 2160507
...duh, shirika hili lilikuwa muhimu sana kipindi hicho na lingekuwepo hadi leo usafiri wa anga ungekuwa rahisi sanaMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Hamza Johari amesema ndege aina ya Embraer 190 (5H-FJH) iliyozuiwa nchini haiwezi kutumika kulipa madeni ya waliokuwa wafanyakazi wa Fastjet Tanzania kwa sababu haikuwa mali ya shirika hilo.
Johari aliyasema hayo baada ya waliokuwa wafanyakazi 105 wa Fastjet Tanzania, kuingiwa hofu iwapo Sh5 bilioni wanazodai shirika hilo zitalipwa, baada ya kile walichodai kuwa ndege hiyo iliyokuwa imezuiwa kama dhamana, imebadilishwa usajili na kuruhisiwa kuondoka.
View attachment 2160523
...mmmmh, hawa ni wachezaji wa kila siku au maveterani kama mimi kwenye chama letu la kila Jumamosi pale viwanja vya Mashababi Kigamboni hospitali? Sababu kwenye chama letu la maveterani sioni kabisa kati ya hawa kunizuia winga teleza kutoa krosi za magoliNamungo waweka kambi Zambia
.
Kikosi cha wachezaji 24 wa Namungo FC kimetua salama nchini Zambia kwa ajili ya kambi ya wiki mbili kupisha kalenda ya Fifa kwa timu za taifa.
.
Kocha msaidizi wa Namungo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema wakiwa nchini humo watacheza michezo miwili ya kirafiki ikiwa ni sehemu ya kujiweka fiti kabla ya kurudi kwenye michuano ya Ligi Kuu Bara.
......……..
View attachment 2160540
Huniamini eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...huyo sio mzee kama mimi. Mimi ni kijana ila nna mambo ya kizee ndiyo sifa yangu kubwa. Stivu yeye ni mzee ila sijui kama ni msanii wa filamu, vichekesho au muziki. Zaidi nilikuwa namsikia enzi zangu nakwenda Akudo anaimbwa ""stivu nyerenyere tajiri mufupi"''. Usinifanishe naye vinginevyo nitaenda kwenye TV niite wanahabari nikupe masaa 48 ukanushe mfananisho
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani binamu...hii kachumabri mbona pilipili inazikimbia nyanya!!? Ila pilau limekaa mwakemwake baabake
Ana wasiwasi na yule kiumbe?Auntie Makiwendo ana wasiwasi nilimuita cocastics babe yule ni mwenzetu sio mwanaume yule we kama hauniamini sawa tu me mambo za stress za mapenzi hapana jamani
Eeenh auntie ana wasiwasi naye [emoji23] yaani issue ya week iliyopita nakumbushiwa leo jamani ujue auntie stress za mapenzi sitaki kabisa jamani nataka rahaa tu mimi rahaa tu yaani nataka kudekezwa jamaniiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ila wanawake tuna huruma sana yaani nasubiri tu nimuone mke wa mtarajiwa wa mrema
Mapenzi ya kweli na Wivu havitengamani Auntie...Eeenh auntie ana wasiwasi naye [emoji23] yaani issue ya week iliyopita nakumbushiwa leo jamani ujue auntie stress za mapenzi sitaki kabisa jamani nataka rahaa tu mimi rahaa tu yaani nataka kudekezwa jamaniiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaah nimetoka kuangalia clip yake jamani nimechoka yule mzee kweli wa kutaka kuoa angetulia tu amalizie uzee wake vizuri[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Anakuambia ni Kabinti kadogo keupe[emoji2]yule Mzee siyo mzima.
Sent using Jamii Forums mobile app